Duuuh pole mwaya, ila sikushauri ukachomwe hiyo sindano kaa Chini tafakar vizuri utapata njia nyengine sio hiyo, dada angu Kuna watu Wana matatizo wakikuhadithia utajiona kuwa una nafuu ila wanajifariji na ktk maisha ya mahusiano uvumilivu unahitajika maana unawezaa ukafanya kitu kibaya mno...
Ww mshawishi, mwambie umekubali kuolewa ila ngoja ukaangalie mazingira ya kazi kwanza ukifika kazini kama bado anakumbushia uolewe mwambie mama huku kazini kidogo Kuna masharti sitakiwi kuolewa kbl sijafanya kazi either miaka hata miwili ko nifanyeje mama na hapo hakikisha ukipata mshahara...
Mmh majanga ila hapo akili kichwani mwako, mama ako hapo huyo rafiki yake anamzingua utaolewa mtapishana hapo na mother ako, wakati ungeenda huko arusha kwenye kazi siku waweza mletea hata kitenge, maana hela za kuomba nazo kwa mume ili umnunulie mama kitenge[emoji15] [emoji15] ko ww jua jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.