KIFO Kila nafsi itapatwa na kufikiwa na KIFO,Tulio hai hatupendi kusikia mpendwa wetu amefariki,tunafikia hata hatukubali kuwa umri wa miaka 50na kuendelea ni umri wa kufariki,na walio hai wenye umri wa miaka 80 ni wachache mno,na wenye miaka 100ni. kama hamna,hamna kabisa kwa walio hai Kila...
Kuna kitu kinaitwa"profit organizations"na non profit organizations"misamiati yake ni minne,profit organizations tuna;profit/faida,loss/hasara na kwenye non profit tuna surplus/ziada na shortage/upungufu.Hiyo ATCL ni profit corporate hivyo tunatarajia profit or loss.
Kitu ambacho wasiowatumishi hawajui ni kuwa wastaafu awali walilipwa kwa mkupuo mwanzo 50% ya pension na 50% iliyobaki waliendelea kulipwa kwa miaka isiyozidi 13;Iko hivi kama pension yako ni TSH 200,000,000/=utalipwa kwa mkupuo TSH 100,000,000/=na iliyobaki yaani 100,000,000/=utalipwa kwa...
Botswana yenye karibia sq kilometre 582,000 zaidi ya nusu ya Tz Ina kabila Moja tu,akili zao,matamanio Yao,Kila Moja wao apate .Kwao kiongozi wa taifa ni kama Chifu,na taifa lao ni kama Jimbo.Kwao hakuna mfalme Jeta wa kusadikika.Shaban Robert.
Ni ukweli Taifa hata mtu binafsi kunatakiwa kuwa na benki ya takwimu/data . Labda zipo takwimu za ni cubic meter za Maji ngapi yanayopotelea baharini za mito ya Ruvuma,Rufiji,Pangani .Kazi ya kukusanya,kuchakata,kupanga na kutunza(benki)ni lazima zifanywe na watumishi waliosomea,je ukienda pale...
Inajulikana Watumishi wa umma wanaishi na kutenda kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma na Kila kundi na daraja la utumishi wanalipwa stahili zao kwa mujibu wa nyaraka mbalimbali za malipo ya stahili za mtumishi,Yote haya yanasimamiwa na Afisa masuhuli wa eneo husika(RAS),kwa vyovyote RC...
Kwani Watanzania wanahitaji nini,wanahitaji kiongozi atakayesimamia haki zao za kikatiba,atakayesimamia maendeleo Yao,usalama wao,huduma za jamii,kiongozi asiyesimama na mafisadi,na asiyembaguzi wa namna yoyote kama Mh Makonda atakuwa hivyo basi Lema asiote ndoto,la sivyo Makonda atapigwa...
Ni kama vile wao hawatastaafu ,NHIF ni bima ya afya watumishi wanachangia Toka mishahara Yao,wako wengi walichangia kwa muda wao wote wa utumishi wao na hawakuwahi kuugua hata siku Moja,Na makubaliano ni kuwa wataendelea kutibiwa kwa muda wa maisha yaliyobaki,eti Leo wanaonekana ndio...
Nashauri Ile taarifa ya Mkaguzi wa ndani ndio iwe inawasishwa Bungeni,Bunge la mwezi Sept au wa kumi,hii Iko more current na uzuri mmoja haitofautiani sana na hii ya CAG ambayo inatolewa baada ya miaka miwili 2022/2023inatolewa 2023/2024
Kama wameamua kubinafsisha na iwe total wasimamie uendeshaji,ukusanaji mapato,Admin Yaani walipe gharama za Barbara na Kodi ya serikali basi.Udart wapewe kazi nyingine.
Kuchagua M/kiti mkutano Mkuu wa CCM Dodoma wenye wajumbe zaidi ya 1200 ;upigaji,uhesabuji ,utangazji na usimikaji wa mshindi hauchukui zaidi ya dakika 90,tume huru iachane na huu utaratibu wa timu iliyokuwa si huru uchaguzi wa kata yenye wapiga kura chini ya 1000 kuchukua siku kibao ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.