Alishindwa kuoingea ukweli, hata Mwenyekiti wao JK ni gamba. Tofauti yao kubwa ni aina ya magamba. Makamba ni gamba la juu, JK ni gamba ambalo limeshikana na ngozi kabisa. kulivua ni kukiacha chama bila ngozi, TOTALLY DIED. BUT THE DAY IS ON THE WAY!!!!!
Hata gari ambalo huwa kwenye mwendo kasi mkali sana, lipapatwa na kitu ambacho kitalilazimu kisimama, hata kama dereva ni mtaalamu kiasi gani, hawezi kumudu kulisimamisha gari hilo hapo hapo lilipotakiwa kusimama. lazima litasimama umbali fulani utoka eneo la tukio.
CCM imefika mwisho.Lakini JK...
kwa mujibu wa takwimu ambazo zilipatikana wakati wa kampeni za uchaguzi uliomalizika kwa jk kuambulia 61% baada ya uchakachuzi, ilisemekana kuwa ahadi za ccm zilifikia thamani ya fedha za tazania zaidi ya trilioni 90. Ukipiga mahesabu ya haraka haraka, bajeti ya tanzania kwa mwaka sio zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.