Hivi ilani ya JK na chama cha magamba (CCM) inatekelezeka!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ilani ya JK na chama cha magamba (CCM) inatekelezeka!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOENVA, Apr 21, 2011.

 1. J

  JOENVA New Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mujibu wa takwimu ambazo zilipatikana wakati wa kampeni za uchaguzi uliomalizika kwa jk kuambulia 61% baada ya uchakachuzi, ilisemekana kuwa ahadi za ccm zilifikia thamani ya fedha za tazania zaidi ya trilioni 90. Ukipiga mahesabu ya haraka haraka, bajeti ya tanzania kwa mwaka sio zaidi ya trilion 12. Ukizidisha 12x5 (miaka yake ya uongozi, kama atabahatika kumaliza) unapata trilion 60. Kati ya hizo zote, bajeti ya matumizi ya kawaida ni zaidi ya % sabini, yaani 60 x70/100 = 42.5 t zinatumika kwa ajili ya kuendesh serikali, posho, safari za nje na ndani za mawaziri, takrima na mishahara. Kwa hesabu fupi tu, ni kiasi cha 17.8 t ambazo zitatumika kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa kipindi chote cha uongozi wake uliobaki. Hizo meli katika maziwa yote, hivyo viwanjavya ndege karibu kila mkoa, hizo hospitali za rufaa hadi kwenye kata, hizo bajaji kila zahanati, hizo wilaya na mikoa mipya iliyoanzishwa na takataka za ahadi za papo kwa papo ambazo zingine hata haziurekodiwa, zinatekelezwa kwa mtindo fedha kutoka wapi? Hebu nisaidieni, maana kila nikifikiria kwa kina, naona jamaa aliahdi kwa sababu alijua hakuna ambaye atamuuliza tena, si anamaliza. Na hata haya maamuzi ya kuwafukuza ra, ac na el, nafikiri msingi wake ni "tukose wote" kama ilivyokuwa kwenye uspika.
   
 2. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wapi kitufe cha thanks coz MFUKUNYUNZi wanna say thanks for this useful post/thread
   
Loading...