Search results

  1. W

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tusipojipanga CCM hatuwawezi

    Mkuu tulia hivyo hivyo dawa ikuingie
  2. W

    Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    Umekariri Mkuu unafikiri wote ni wajinga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
  3. W

    Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

    Trillion 40 sawa na dollars billion 20 na billion 500 sawa na 250milion us dollars... Afu kwa 5yr zikopwe..??? Huku deni la Taifa ni trillion 50 sawa na 25 us billion dollars..elimu muhimu sana kwa watu
  4. W

    CHADEMA hili la Stiglers tuweke siasa pembeni

    Afadhali hujanijumuisha Mkuu mana nimeshangaa unaponisemea
  5. W

    CHADEMA hili la Stiglers tuweke siasa pembeni

    Mkuu sema nataka Uhuru siyo "tunataka" Uhuru
  6. W

    Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    Ndo hivyo magu atashinda kwa % kubwa...hapa jf tunatiana moyo tu....ngoja niendelee na kazi niingize pesa kwanza Mkuu
  7. W

    Tuongelee Saving yenye mafanikio

    Uko vizuri mkuu...me be4 sina family nilikuwa nasave 90%...ila baada ya kuwa na family now 70%.
  8. W

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Hongera kwa simulizi hii mkuu...tambua tupo wengi ambao tunakufatilia,tunajifunza mengi kutokana story hii..Mungu akupe maisha marefu zaidi na afya njema. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. W

    Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

    Ni kweli mkuu nakubaliana na wewe 100%...me najenga kwa ajili ya family wasilale nje....ukiwa na kwako na ukafeli kwenye business/uwekezaji haina makali sana kama usipokuwa na sehemu ya kulala ambapo huwa ni hatari zaidi.. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. W

    Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

    Asante Mkuu kwa mawazo yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. W

    Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

    Mkuu labda nikuhakikishie tu...sina loan kwenye bank yeyote....Siamini katika loan kuendesha project ndogondogo kama kujenga nyumba.... Mzee wangu kanifundisha loan siyo nzuri kama una-one source of income.... Na kuwekeza ndo muhimu zaidi kwa sasa... Nakubaliana na wewe kwenye hoja yako but me...
  12. W

    Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

    Siwajui hawa Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. W

    Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

    Kweli Mkuu hiyo ndo nataka niifanye mana ntasimamia mwanzo mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  14. W

    Ushauri: Nataka kujenga nyumba kwa Shi. Milioni 27

    Asante Mkuu kwa ushauri wako niko mbioni kuanza business ya Mchele wa kyela.... Mwaka huu nilifanikiwa ila c sana but nilipiga hatua. Kubwa....nilikuwa naunua mpunga wakati wa kuvuna kwa bei ya 80k-90k kwa gunia la debe 10 za mpunga.... Nikaweka steka mashime...nimekoboa December to January hii...
Back
Top Bottom