Search results

  1. T

    Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

    😂😂😂😂😂Eti Ishiiii.Umewapatia sana.Hapi bado hajapiga mdomo " mmba"
  2. T

    Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

    Miaka ya tisini kulikuwa na vichaa maarufu walijulikana mji mzima.Alikuwepo Malingumu,Madebe bila kumsahau Mwajuma ringa.Hili la vichaa ni kweli mkuu tangu enzi hizo japo sababu sijui.
  3. T

    Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

    Miezi michache ilopita wakati akiapisha mawaziri alisema wasiwaze kuhusu uchaguzi ujao wachape kazi but yeye amekuwa wa kwanza kuuwaza,tena kwa kishindo.
  4. T

    Je, Magufuli amemfunika Nyerere kwa waombolezaji kwa sababu ya mtandao au ni kweli?

    Nyerere hakuzungushwa mikoa kadhaa.Watu walilia machozi hayakuonwa na Instagram et al.
  5. T

    Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

    Hata aliyewahi kutangaza mtoto wa Mbowe ana Corona ni Mmwanza kama si Mmbeya
  6. T

    Nitumie njia gani niisahau pombe?

    Isubiri istaafu utaisahau tu
  7. T

    Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

    Umenikumbusha gazeti moja lilikuwa likimuongelea mchezaji aliyeitwa Mbo Mpenza aliyesajiliwa na timu ambayo iliyokuwa na maskani yake hapo Kumamoto.Heading yake ilikuwa hivi "Mbo ndani ya Kumamoto.
  8. T

    Kwenu ninyi wakuu wa shule za sekondari

    Kumbe private hakuna walimu wa sekondari ee?
  9. T

    Kwenu ninyi wakuu wa shule za sekondari

    Private hakuna walimu was sekondari,wapo was primary eti ee?
  10. T

    Kwenu ninyi wakuu wa shule za sekondari

    Private hakuna walimu was sekondari,wapo was primary eti we?
  11. T

    Anthony Mavunde: Ukosefu wa ajira kwa vijana nchini wapungua

    Sishangai,kwakuwa Mavunde ni mawingu kwa kigogo naona mawingu yameamua kutanda na kulifunika jua(reality).Hahaaa,hapa waziri labda alimaanisha ajira za wabunge.
  12. T

    Wapiga "dili" wazidi kubanwa. Heko Magufuli na Serikali yako!

    Ni kweli sasa deal hakuna.Ndo maana kuna watu wamekataa maburungutu ya 10M.
  13. T

    Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Ngoja tuombe msikiti ili tuwatulize mamufti wa kule visiwani.Divide and rule!
  14. T

    Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

    Mwalimu alitii akajua yatatokea ya yule traffic kupandishwa cheo.
  15. T

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Tena hawa wanafunzi waliokuwa wakinunua TV na kufanya mengine walitakiwa wapongezwe kwa kuweza kubajeti kahela hako kadogo katika mambo lukuki.
Back
Top Bottom