dada kuwa makini nimetafuta kazi humu kwa miezi kadhaa
Ila ninachokutana nacho ni mitihani
Mtu atakuomba namba picha na kuitwa hotel
Ukizubaa umeliwa.
Kila la heri.
Kwa mfano mimi,nimeuza chapati ila hazina faida zaidi ya 50
Kulinganisha na hali ya maisha kueza kusave ni ngumu
Vitafunwa vingine madukani wanakataa wanachukua kutoka kwa bakhresa
Hili la matunda inabidi kuwa hata na kimeza hauwezi kuuzia chini
Kuna kipindi nilitafuta 20,000
Ya kuanzisha...
Du una kazi mambo magumu hivi?
Ungekua kama mimi ninayehangaika kila kona hata 1000 sipati sijui ungekuwa wapi.
Pole mkuu wakikuzidishia nirushie na mimi kidogo.[emoji26][emoji26]
Habari wandugu?
Ugumu wa maisha umenifanya nishindwe kuwa humu mara kwa mara
Nimetafuta kibarua na kuwasiliana na walioonesha nia ila bado sijafanikiwa
Niko tayari kufanya kazi yoyote halali iwe formal au informal hata ya ubaby sitter
Msaada wadau hali yangu ya maisha siyo shwari kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.