Ujenzi wa shule , hospital waendelee serikali, dini iwalee waumini kumjua mungu na kuwa watu wema. Maana hata hizo shule na hospital zinazojengwa gharama zake ni zaidi hata ya gharama zinazotozwa ktk shule na hospital za serikali.
Mkataba wa uendeshaji wa bandari kati ya Dp world na TPA bado, hatua hio itakavyofikia muda wa mkataba na mambo mengine yatawekwa humo. Mkataba ulioridhiwa na Bunge unahusu mashirikiano kati ya Dubai na Tanzania.
sisi wakazi wa kigamboni na wakazi wa dsm wanaokwenda kigambon kuna impact kubwa ambayo ni kupunguza muda wa safari kwa kiwango kikubwa ambapo wenye magar wanakaa mda mrefu ferry kusubir kivuko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.