Search results

  1. debless

    Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

    Wanawake ni wengi sanaa, wanaume tuko wachache sana hasa sisi marijali. Maana na wengine wamekuwa mashoga. Kwahiyo wanawake kuweni makini sisi ni dhahabu ukipendwa na mwanaume rijali kaa tulia mtafute pesa
  2. debless

    Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

    Hakuna samaki huyo nguva wa kiume ?
  3. debless

    Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Sasa wadau hili jina hapa Tanzania linatumika kwa jinsia ipi
  4. debless

    Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Shukrani mkuu ,sasa sijui kwanini wengine wanasema ni lakike
  5. debless

    Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Daa ,shukrani kwa mawazo mkuu
  6. debless

    Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Mkuu msaada wako wa mawazo nauhitaji sana pia
  7. debless

    Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Shukrani mkuu kwa ushauri ,ila mimi nataka kujua kuhusu Bright tu .Yani sitaki kuongeza kingine
  8. debless

    Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Wewe ni mtu wapili unaniambia japo wengi wanasema la kiume
  9. debless

    Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Habari za usiku wanajamvi !!!! kama kichwa kinavyo jieleza . Mimi debless nimewaza sanaa juu ya jina zuri la kumpa mtoto wa kiume .Nikajikuta na Jina hili "Bright " kichwani mwangu .Sasa nataka kujua jina hili huku kwetu(Africa) linatumika kwa jinsia gani ? Karibuni wadau mnisaidie juu ya hili...
  10. debless

    Nilichokiona jana usiku

    Jambo lingine ni huyo mtoto ni wakijana kweli? Inawezekana ni wa huyo mzee
  11. debless

    Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

    Umejuaje mkuu ? napata tabu kujua umejuaje !! ukweli daima uongo mwiko
  12. debless

    Nilichokiona sokoni jana kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali nilitamani kulia

    Bishara kwa mkumbo mkuu unafanya ukweli daima uongo mwiko
  13. debless

    Nilichokiona sokoni jana kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali nilitamani kulia

    Atalipia wangapi ??? ukweli daima uongo mwiko
  14. debless

    Nilichokiona sokoni jana kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali nilitamani kulia

    Huyu mwajiriwa au mwanafunzi ukweli daima uongo mwiko
Back
Top Bottom