Search results

  1. G

    CHADEMA haya ndiyo mataifa mnaomba yaiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi

    Kumbe una amini kuwa Mbowe amebambikzwa kesi kwa sababu ya kupambana na serikali? Kama ni hivyo, hamwezi kumshinda Mbowe.
  2. G

    #COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Huyu simuamini tena, tangu aseme '' nikosoeni'' na akiambiwa ukweli anabambikiza kesi za ugaidi, nimefuta namba yake kabisaa
  3. G

    Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Ninawafahamu hao wote, tuko nao CCM wote, nimeamini chama chetu cha CCM kinatumia propaganda za kizamani, kwani hatujui kuwa hawa vijana kila siku wana shinda pale Lumumba wakiwa na sare? Ona sasa jinsi chadema walivyotuumbua kwa kuwaonesha wale vijana wakiwa na sare zetu za kijani.
  4. G

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Ubunge tu hakushinda na aliiba kura, huyu ndiye tumuote eti Askofu? Hapana ! Askofu ni lazima awe MTU wa haki, MTU anayeichukia dhuluma, mtu anayeishi ndani ya ukweli, huyu hawezi kuwa askofu.
  5. G

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Tangu Gwajima alivyojiapiza kuwa atamfufua Amina chifupa na akashindwa kumfufua basi nikajua huyu ni tapeli tu.
  6. G

    Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Kuna mtu alijiapiza kuwa ataua upinzani kabla ya 2020 lakini akafa yeye, sembuse huyu anayeweka mawe ya msingi? Haya ngoja tuone.
  7. G

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Nimeanza kufunga kwa siku thelathini ili Mungu atende kama alivyotenda mwezi marchi .
  8. G

    Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Alishindwa dikiteta magufuli kwa mdude, Mama ataweza kwa Mbowe? Time will tell.
  9. G

    Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Under what act in our current constitution that prohibit political activities in the nation? The President has no power to prohibit political activities in the nation. Unless we seek for the new constitution.
  10. G

    Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

    Kwa mujibu wa sheria ukitakiwa kukaguliwa sharti kuwe na mambo yafuatayo 1. Shahidi wako mkaguliaji 2. Shahidi wa mkaguaji 3. Mwenyekiti wa s/ mtaa 4. Muda usizidi SAA 12 jioni. 5. Kibali cha ukaguzi kilichotolewa aidha na mahakama au kiongozi wa juu wa jeshi la Polisi 6. Saini zinazoonesha...
  11. G

    CHADEMA badilikeni kila siku tunawachangia pesa kwa mtindo huu

    Linazuia mikutano ya ndani kwa sheria gani?
  12. G

    Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Wewe unafikiri kila mtu yupo mjini? Kuna mtu yupo Maisome hakuna benki wala wakala lakini kuna mpesa, kutoka hapo kwenda benki kiometa 130 itawezekana kweli? Think big.
  13. G

    Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Ki ukweli mh. Diallo ameusema ukweli, JPM alikuwa katili , muuaji na mnyanyasaji. JPM alichukiwa na watu kuliko shetani. Diallo amethubutu kusema kweli , hatukujua kuwa alikuwa na file milembe hospital.
  14. G

    Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Nimeamini kuwa huyu mwendazake watu walimchukia kupita shetani. Alitesa watu , aliua watu, alinyanyasa watu, nakubaliana na mh Diallo kuwa alikuwa na file milembe.
  15. G

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Magufuli alikuwa tapeli tu, jambazi, na muuaji mkubwa. Nadhani anakula mijeledi ya kutosha huko aliko.
  16. G

    #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Ki ukweli hapa Sengerema kuna vifo kila mahali, tunashindwa tumzike nani, tuache nani. Naona watu hawana habari za barakoa, wanaamini Yale maneno ya mwendazake.
  17. G

    Wembe ni ule ule

    Kwa maana hiyo, Mdude hajafanya kosa?
  18. G

    Kigwangalla usokolokwinyo huu atauacha lini?

    Huyo tunamuita, msaka fursa.
Back
Top Bottom