Search results

  1. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    hapana, nimemchukua mmoja yule wa kwanza
  2. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    yaap, nimekusoma kaka nimejaribu kutuma pm kwako, from there we can stay intouch.good night and enjoy your weekend, urakaza neza
  3. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Thanks raia flan and karibu sana Rwanda any time you will be my guest.
  4. T

    Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA)

    Mungu Ibariki Tanzania safi sana
  5. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Re: Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri. Niekusoma ndugu. Yaelekea huko Rwanda kunahitajika watanzania wengi vijana kwa kazi moja muhimu ya kuwafariji mabinti wa huko ambao wengi wao ni wahanga wa yale mauaji ya halaiki. Pili, naweza kuona dhahiri kabisa...
  6. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Gaga nadhani hakuna muendelezo zaidi ya maelezo haya ambayo niliyatoa asubuhi Ndugu zangu napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru saaana, woote kwa ushauri wenu na maoni yenu mbalimbali, pia vilevile naomba niwajulishe ya kwamba mimi sio muandishi wa hadithi na pia hii ni mara yangu ya kwanza...
  7. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Re: Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri. Good story but confusing a bit!!! Mmoja wazazi wake walikufa kwenye Rwandan Genocide of 1959 lakini umri wake ni miaka 31 hadi sasa!!!!!! Pamenichanganya mno hapa..... Hebu pafafanue mkuu...unless kama ulimaanisha ile...
  8. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Ndugu zangu napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru saaana, woote kwa ushauri wenu na maoni yenu mbalimbali, pia vilevile naomba niwajulishe ya kwamba mimi sio muandishi wa hadithi na pia hii ni mara yangu ya kwanza kuja katika jukwaa hili na kutaka msaada kutoka kwenu. wanajamvi habari hii ni ya...
  9. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Mayenga are you serious? unajua kukuuzia siwezi ila kama unataka kua rafiki wa kawaida naweza kukupatia mawasiliano nae then katika maongezi yenu mnaweza fika mbali zaidi wenyewe au vipi ndugu yangu?
  10. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Re: Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri. ha hahaaaaaaaaa Dena uwiiiiiiiiiiiiiiiii umenichekesha sana dia!! sijui part II itakuaje!! mie naona wanaume kama wasanii tu!! yy mwenyewe lazima anajawabu tu kwenye akili yake, hata ukisoma maelezo yake utaona yana uzito...
  11. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    Re: Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri. Dou!!! very touching story, ndugu yangu jambo lako linahitaji busara zaidi kuliko akili yetu ya kawaida ya kibinadaamu, kwanza kabisa ulikuwa tayari na uhusiano na msichana ambae mwenyewe ulimpenda kwa moyo mmoja mpaka...
  12. T

    Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

    habari za kazi ndugu zangu wana jf?kwakweli nimepatwa na msongamano mkubwa wa mawazo amabyo mimi binafsi nimeshindwa kufanya maamuzi sahihi hivyo basi nimeona nilete matatizo yangu hapa jamvini kwani nina imani kubwa nitasaidiwa kimawazo kupata ufumbuzi wa mikasa hii nilionayo kwasasa. mimi ni...
  13. T

    Ni kweli mfalme BOKASA wa jamhuri ya central africa aliwalisha marais nyama za watu??

    duh! Hapo panatia uchungu sana, lakini swali kujiuliza wapo wapi sasa? Hili ni fundisho tosha la jinsi gani wafrika tulivyokua na matatizo ya asili kumbe hata huyu mkwere karithi dam chafu ya viongozi wadhambi bila shaka hata yeye anguko lake lipo karibu,tuungane kuupinga udhalim wake.
  14. T

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    tupo pamoja, tanganyika yetu itakombolewa na sisi wenyewe,ni kweli kila mtu atumie nafasi yake, tayari mi nishaanza kutumia yangu. Kwa pamoja tutawaangusha. Ushauri kwa umma tusimpende au kumlinda mtu kwa imani ya dini yake bali kwa matendo yake na uzalendo wake.
  15. T

    Kikwete na kundi lake ni wanafiki wakubwa kwa mujibu wa uislam

    typical, bruce lee yupo sahihi na anatisha taifa linahitaji wenye mitazamo kama yake. Kubali kakushinda nguvu za hoja.
  16. T

    Tamasha la CDM-Makumira University

    Mungu ibariki Tanganyika
  17. T

    Niliyoyaona Kwenye Kongamano la Vijana Chadema: Kadi 20, Mwanamke Mmoja!!

    Re: Niliyoyaona Kwenye Kongamano la Vijana Chadema: Kadi 20, Mwanamke Mmoja!! Usifadhaike mkuu, mimi binafsi sina kadi ya Chadema, kiufupi si mwanachama wa chadema, kadi yangu ya chadema nimeihifadhi moyoni mwangu, kuwin politics hakuhitaji rundo la wanachama bali wapenzi wenye mapenzi...
  18. T

    CCM: ILIZALIWA, IKAKUA na SASA INAKUFA

    kazi ipo naona jinsi kasi ya mabadiliko inavyoshamiri nyumbani hapo
Back
Top Bottom