Tunafahamu kuwa jengo la Maktaba Kuu ya Taifa linafanyiwa matengenezo toka mwa jana, lakini je -: Matengenezo haya yatakamilika lini ? Kwanini simu kuu haipokelewi ili wanachama waliositishiwa huduma wapewe mrejesho ? Je wanachama watafidiwaje kwa sitisho hilo ? Na lini huduma zitarejeshwa tena...
Kweli hii huduma ilipoanzishwa ilizingati ubora na wengi iltupa matumaini ya kuleta mageuzi na ustaarabu wa usafiri wa umma mijini. Wengi tuliamini matumizi ya usafiri binafsi utapungua
Umeelezea vyema. Yaani usafiri wa daladala ni bora zaidi kuliko huu wa MWENDOKASI. Natamani CEO wake Dr Mihede akague vituo na mateso wanayopata abiria na baadae ajitafakari.
Prof. Kondoro namfahamu tangu akiwa UDSM miaka ya 1980 hadi alipokuwa Mkuu wa DIT na baadae kustaafu. Ni msomi makini na mwenye maadili mema. Nadhani kuna jambo nyuma ya pazia.
Umeeleza vizuri sana hususan suala la '' consumption economy''. Kwa kuongezea ni kwamba serikali inaweza hata kutoa chakula bora kwa shule zote za msingi. Hili linawezekana kama tukijipanga na kudhamiria.
kweli tangu ljumaa ya tarehe 27 hadi 29 Januari ktk maeneo ya Kibamba na Mbezi mshikamano maji yalikuwa ya tope kabisa. Tunaomba sababu na kama maji hayo yana madhara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.