Search results

  1. C

    Makonda aagiza Msako nyumba hadi nyumba Dar kubaini wasio na kazi

    Mimi Kazi yangu ni kubet kila siku, kwa Wiki sikosi 120,000. Wakija watanikuta nipo ofisi za kubetisha.
  2. C

    Farhia Midle mtangazaji wa ITV badilisha staili ya kubana nywele

    Nyuma atakuwa na nywele ndefu, si ndio mada isotopic?
  3. C

    Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

    Umesoma HKL nn? Hizo sio namba witiri ni mamba shufwa (even number)
  4. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chana tu huo mkee waturuki wamezingua.
  5. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana nimemla hivi muhindi japo si nyingii
  6. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imekuwa ngumu kwa Bayern pole sana wa kusoma
  7. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wa kusoma tunakuhitaji huku SAA 12 inakaribia mech zianze nimechoka kuliwa nimeandaa Li fifty.
  8. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakusoma twekee za Leo nikufate wiki nzima nimepigwa za USO nataka wikii hii nirudishe hela zangu.
  9. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Changanya na 1.5 over FT Mimi inanitoaga sana
  10. C

    Salama Jabir utaolewa lini?

    Pole kiongozi bet jioni. Anasubiri mayai yakutane
  11. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Itafika tu mkuu usiwe na wasiwasi
  12. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu matumaini ya kila timu ipate goal yanazid kufifia Melbourne anamdindia andaa ambulance wakuwaishe muhimbili kabla presha haijapanda.
  13. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee tutakupeleka muhimbili hiyo ngoma draw.
  14. C

    Leicester City ina washabiki Tanzania?

    M mshabiki wa kumbetia
Back
Top Bottom