Search results

  1. S

    TCU hawatoi hatma yetu ambao hatukuripoti chuo mwaka jana

    Mimi nimeandika barua lkn bado naandikiwa prior admission found sasa hawa cjui wanataka tusiende chuo?
  2. S

    Nampenda lakini meseji zake za mkato

    Moyo mashine achana nae fanya mambo yako ya msingi bhana kwani yuko pekee yake utapata mwingine wa kufanana na wewe huyo hakufai nakuchana live
  3. S

    TCU hili halijakaa sawa kabisa, siamini kuwa hamulioni!

    Sasa kuna mtu alikulazimisha uende sayansi?
  4. S

    TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Jaman msaada me nilimaliza mwaka jana six nina BDD cutoff point 4 masomo mawili yan BD sasa naweza kupata chuo hapo au nikalime mchicha coz mwaka jana nilipata chuo nikahairisha kwenda
  5. S

    Msaada wa namna ya kuapply kwa huyu mdog wangu wa form six

    Vipi kama nilipata BDD six mwaka jana 2015 nakubaliwa???
  6. S

    Msaada wa namna ya kuapply kwa huyu mdog wangu wa form six

    Sir doctor ulitumia matokeo yako ya G.P.A ya six mwaka jana na je vipi mfano mtu alipata BDD je anakubaliwa kudahiliwa chuo kikuu coz ana cutoff points 4 hapo kwa masomo mawili
  7. S

    TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Jaman mbona kwenye guide book wameandika D ya mwaka 2015 ni point 1 hii inakuaje sasa maana mwenye B Plain ni 3 maana yake ukiwa na BD ungechukuliwa tusaidiane hapo??
  8. S

    50,000 ya kuombea chuo TCU inalipwaje?

    Watatoa kesho ili watu wan kuomba
  9. S

    Wakuu ntampeleka wapi huyu mdogo wangu wa kike?

    Na aliyepata CEE inakuaje hapo mkuu??
  10. S

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Daaaah guyz me nimepata CEE hamna chuo hapo au nikauze mitumbaaa karume?
  11. S

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    So mtu amepata BD ya mwaka 2014 hakuna chuo na cut of point ni 4.0?
  12. S

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Mfano mtu alimaliza form six 2015 akapata BDD je hawez kupata admission coz hizo points 4.0 anazo hapo?
  13. S

    Je kwa alama hizi anaweza kujiunga na chuo ngazi ya Cheti?

    Huyo ni kilaza mkubwa hahahaha unapataje F zote
  14. S

    Mtumishi wa umma atakayekwenda kusomea 'first degree' sasa kuchukua likizo isiyo na malipo

    Is not.fair kabisa hapa kazi tu, imegeuka hapa woga tu, watumishi kufanya kazi kwa ueledi umepungua sasa wanafanya.kazi kwa woga tutashuhudia mengi sana ndani ya miaka hii 5
Back
Top Bottom