Search results

  1. nalb

    Photocopy IR 2520 Mpya

    Hbr wana JF, Ninauza Photocopy mashine mpya ikiwa kwenye box lake. Bei ni 1,750,000 tu( Milioni moja laki saba na nusu tu), nina shida ya kifedha ya haraka. Mashine ipo Mwanza, kwa aliye interested tuwasiliane 0718 612 893
  2. nalb

    Waziri Ndalichako: Baadhi ya vyuo vikuu kufutwa

    Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako amesema baadhi ya vyuo vikuu vitafutwa kwa kukosa sifa, na wanafunzi walioko katika vyuo hivyo watatafutiwa vyuo vingine kuendelea na masomo yao. Source ITV
  3. nalb

    HP Laserjet pro 400 colour printer

    Hbr wakuu, naitaji used printer hp laserjet pro 400 colour printer au pro 200, hata kama ilikwisha haribika nicheki. Inatumia cartridge nne, namba 131A ( black, cyan, yellow na magenta) Bei makubaliano kulingana na hali ya printer, Mawasiliano: 0687668366 Asante
  4. nalb

    Tawala za kifalme

    Habari wana jamvi, Inafahamika kuwa hapa duniani kuna nchi ambazo zinatawaliwa kifalme, mtawala akiwa mfalme au malkia. Watawala hao hutoka katika ukoo mmoja tu na ulithishana ukuu huo. Naomba kupata ufafanuzi wa maswali haya; Je mfalme wa kwanza kabisa katika nchi hiyo alipatikanaje? Kama...
  5. nalb

    Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

    Hi wana JF, Nimekuwa nikisikia kuwa pesa ya nchi yoyote ile utengenezwa katika nchi ya Uswisi, lakini katika kujua huko nimekuwa nabaki na maswali mbalimbali juu ya hilo. Maswali hayo ni pamoja na; (i) Je katika nchi hiyo ni kampuni binafsi au za serikali ndiyo zinahusika kutengeneza? (ii) Je...
Back
Top Bottom