Search results

  1. moreen richadson

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Hi guys Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro...
  2. moreen richadson

    Nina watu watatu, nataka kuachana na mmoja

    Guys habari zenu, Tangu nimejiariwa hapa kazini nimekua na urafiki na boss wangu na ndie alienileta hapa kazini, sina mapenzi nae kutoka moyoni, ni sababu ya hii kazi ndio maana nipo nae ameshawahi kunitisha mara kadhaa kuwa nikimwaga mboga anamwaga ugali, hata hivyo sina mpango huo bado...
  3. moreen richadson

    Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Hi guys, niaje? Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo kidogo, kule nilikuwa Karani na huku kupya mimi ni Supervisor. Sasa huyu Boss alieniingiza...
  4. moreen richadson

    Mume anakuruhusu uzae na mwanaume mwingine, huu ni mtego ama?

    Iwapo una mme mmeishi wote kwa Muda flani, kutokana na mme kupoteza uwezo wa kukuhudumia unaamua kuachana nae, anakubembeleza mwendelee, unakubali, hata hivyo huduma inaendelea kuwa ya kusuasua sana, baadae inagundulika pia hana uwezo wa kuzalisha mwanamke, Kwa kuwa hayo matatizo mawili ni ya...
  5. moreen richadson

    Kanikuta bar nakunywa zangu bia kaanzisha fujo

    On Saturday, baada ya kumaliza mizunguko yangu niliamua kukaa kwenye joint flani hivi inasifika sana kwa kitimoto choma nikatoa order na kuchagua sehemu nikakaa nikawa nakunywa bia taratibu nikisubiri hicho kitimoto. Bar hiyo kumbe ina guest hapo hapo na kulikua na kundi kubwa la watu...
  6. moreen richadson

    Hivi kwanini baadhi ya wanaume hampendi kufua boxer zenu?

    Unaenda na mtu kupumzika mahala flani, utashangaa wakati wa kuvua boxer na trouser vyote anavishika kwa pamoja na kushusha chini, au anavulia ndani ya shuka. Ukija kuangalia hiyo boxer unaweza kudhani ni lile tambala la deki. Wakati mwingine nje anaweza kuwa msafi sana na gari yake ikawa...
  7. moreen richadson

    Mrejesho: Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Habari, Namshukuru Mungu tatizo langu limekwisha, nitajitahidi kuwa muangalifu ili nisipatwe tena na shida kama hii, nilijikuta nimechanganya nikakutana na rafiki yangu siku hiyo hiyo niliyokutana na mume wangu na hivyo kushindwa kuelewa ujauzito ule ulikua wa nani, naomba mrejee uzi wa...
  8. moreen richadson

    Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Hi, Nimeshika ujauzito ila nimeshindwa kuelewa kama ni wa Rafiki yangu au Mr.. Nilikutana na Rafiki jioni ya siku ya kumi na nne ya mzunguko wangu, usiku nikakutana na mr, baada ya hapo sijakutana na wote hadi siku ya 21 ya mzunguko nilipokutana na hubby tena. Msinielewe vibaya, sijapenda...
Back
Top Bottom