Search results

  1. Katamya

    Msaada kuhusu mtihani wa RPL

    Habari za Wakati huu wana Jamii, nimechaguliwa na TCU kufanya mtihani wa RPL ambao utafanyika jumatatu ya wiki ijayo 10th July, Kwa wenye experience na huu mtihani naomba msaada kujuzwa ni aina gani ya maswali wanayotoa mana hakuna notes wala lecture yoyote wanayotoa kuelekea mtihani huu.
  2. Katamya

    Msaada kulipia kwa M-pesa NACTE

    Wanajamvi naombeni msaada, Nipo nalipia NACTE kupitia M-pesa ila nikifika sehemu moja inaniambia niingize namba ya akaunti. Hapo mbona sielewi? Hiyo namba ya akaunt ni ipi? Msaada please nakimbizana na deadline hapa
  3. Katamya

    Msaada, natafuta shule ya boarding ya A level

    Wana JF naomba msaada wenu, namtaftia mwanangu shule ya bweni inayotoa elimu ya A level ila napenda iwe ya kiislam ambayo inafanya vizuri kwenye matokeo ya form six, iwe mkoa wowote ule nipo tayari kumpeleka. Kwa yeyote ambae anafaham hizo shule ushauri please
Back
Top Bottom