Search results

  1. S

    Msaada: kuitwa bungeni kwa nafasi ya secretary

    Poleni na majukumu wadau, samahani naomba kupata ushauri , kuna kijana ameajiriwa halmashauri ya wilaya Fulani kama afisa ushirika na ameanza kazi mwezi uliopita mwaka huu, ila aliwahi fanya interview bungeni kwa post ya secretary mwanzoni mwa mwaka huu, nao wamemwita areport kazini...
  2. S

    Hodii hodii JF

    Habari wana jf, poleni kwa majuku, niliingia jf kabla ya kujitambulisha jamani, naomba kujitambulisha rasmi, naomba tushirikiane, usiku mwema wotee, asanteni
  3. S

    Academic posts Mzumbe University

    Poleni na majukumu , naomba kujua Mzumbe walitoa nafasi za tutorials , lectures na ass lecturers Sept mwaka huu,je kuna yeyote aliyeitwa ? Asanteni
Back
Top Bottom