Mi ni consultant
Sio lazima walipwe wote. Tena mara nyingi serikali imekuwa na tabia ya kumlipa mkandarasi na kumuacha consultant akilimbikiza maden. Magufulu amekuja na sera yake ya kuwabana ma consultant wakidhan umuhimu wao ni mdgo.
Unaweza kuta mkandarasi ameshalipwa certificate ya saba...
Dah umenikumbusha mbali mkuu Namaiba hapo.
Nimefanya biashara ya kuchukua nguo hapo "kariakoo"
Ya kampala kuleta dar, at list ninaka exprnce kidgo. U can ask
Kila jambo lina protocal zake. Kwenye msiba kama baada ya mazishi huwa kuna kikao cha familia au ukoo mambo yote huwa yanaenda jadiliwa huko. Mkulu kama alikuwa anaitaji kutetea wale wake na watoto wengine angeipeleka hiyo hoja kule. Kuwa mkuu haiondoi uhalali wa kufuata hilo.
Shida yako mtoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.