Search results

  1. M

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    Wana jamii nimesikia kuna vurugu kubwa zimetokea mwanza na inasemekana kuna watu watatu wamepigwa risasi na polisi. kama kuna watu wenye habari zaidi atujulishe.
  2. M

    Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    Jamani now we must think,nchi yetu inaelekea wapi? maana kila kona migomo cha ajabu watawala wetu inaonekana hata hawashtuki na hali hii.
  3. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Serikali ya Tanzania ituambie ilichofanya ni halali.
  4. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Inasikitisha sana kuona mpaka sasa serikali haijasema lolote kuhusu kilichotokea Arusha,tunaomba waziri husika atoe tamko na aoneshe nini msimamo wa serikali na je ikibainika kweli kuna watu wameuawa ni hatua gani polisi waliohusika watachukuliwa? na atuambie ni kwa nini polisi wa Tanzania...
  5. M

    Re:WHO OWN TANZANIA?

    Ukiangalia Chanel ya CITIZEN ya Kenya huwa wana kipindi maalum huwa wanaonyesha watu wanaoshikilia uchumi wa Kenya kwa kuwa na vitega uchumi almost nchi nzima mfano ,mmojawapo ambaye Citizen wamemuonyesha anashikilia uchumi wa Kenya ni MOI Ambaye Ni owner wa Vyuo,Shule,Mahoteli,Viwanja na...
  6. M

    Natamani Dar es Salaam ingekuwa namna hii

    Wana jamii ni ukweli usiopingika mwezi wa kumi na mbili mwishoni Dar es salaam foleni huwa zinatoweka kabisa,je ingekuwa namna hii the whole year si wananchi wangepiga hatua kubwa za kimaendeleo kuliko kupoteza a lot of time kwenye foleni?
  7. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Jamani tupeni updates za hiyo ajali.
Back
Top Bottom