Kama unaona mwanahalisi limefanya makosa kutoa hayo majina 8 ya mawaziri waliovuja basi wachukulie hatua sio unaongea tu humu kwenye mitandao na unatakiwa ukumbuke lile ni gazeti bingwa la habari za kiuvhingizi serikali wenyewe waliligungia wakashindwa kesi sasa kubenea anaidai serikali bilioni...
Huyo sio kada kada gani hajui kanuni za chama chake
Kanuni inasema kila raisi atakaeingia madarakani atamuachia mwenzake alietoka uenyekiti ndani ya miaka 2 halafu atachukua mwenzake aliepo madarakani labda wavunje kanuni na wavunje kwa maslahi ya nani awake wazi huyo kada
Tatizo kubwa katika nchi yetu kila kitu tunaingiza kwenye siasa kwa mfano mwana sheria mkuu anachaguliwa na Rais hii ni siasa jaji mkuu anachaguliwa na rais hii ni siasa mkurugenzi mkuu tume ya Uchaguzi anachagiliwa na rais hii ni siasa mkurugenzi Takukuru anachaguliwa na rais hii ni siasa sasa...
Sheri zipo ila hazifuatwi na viongozi wetu hawana ujasiri wa kufuatilia hizi kwsi za madawa ya kulevya maana nakumbuk a baba Rizz aliwahi kusema orodha UA wafanyabiasha wa madawa ya kulevya anayo lakini tunashangaa mpaka anaondoka hajawataja
Tatizo lilipo kwa serikali yetu wakati mwingine wanapenda kuweka sheria zilizopo kwenye mifuko yao kisa mihemko na kulinda maslahi ya chama kuliko ya serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.