Search results

  1. koi makokulo

    Tukio lililotutokea usiku wa kuamkia leo ni wazi Kenya iko salama zaidi

    Wanasubiri kupiga machinga na wananchi wasio na hati mabomu huku wakidai waongezwa magari.!!!!!!!!
  2. koi makokulo

    Mashine "iliyotumbuliwa" na Magufuli Uwanja wa ndege imepona na inafanya kazi kwa ufasaha

    Wafanyakazi waliofanya hila zao kwenye mashine hiyo wamechukuliwa hatua gani?inaonekana mashine ilikua nzima.Hawa ndio wanaompinga Rais na juhudi zake,alafu mnasema wapinzani...
  3. koi makokulo

    Barua kutoka kwa Mtanzania aliyefungwa Hong Kong kwa kukamatwa na Madawa ya Kulevya

    Umejifanya km mtu aliefungwa kwa kujiusisha na biashara hii haramu ili tupate somo. Vzr.lakini kmbk kuwa hawa watu wanajitolea mwanga kwa sbu ya shida na dhiki.Maskini kama mm ntapata wapi pesa ya visa,passport pamoja na ticket, kama co mpango unaosukwa na wafanyakazi wa s/Kali bila kumuona...
  4. koi makokulo

    Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Wameweza pia kwenye Bunge na makusanyo ya kodi pia wanasimamia wao. Mabadiliko mnaleta nyie wenyewe
  5. koi makokulo

    Wafanyabiashara wakubwa watamkwamisha Magufuli, amini usiamini

    Naomba kukukumbusha kwamba utaifishaji wa Mali za wawekezaji haipo Tanzania tangia utawala wa Mkapa.
  6. koi makokulo

    Wafanyabiashara wakubwa watamkwamisha Magufuli, amini usiamini

    La maana ni kurejesha katiba ya Jaji Warioba ambayo inawabana viongozi wa s/Kali, wabunge hata na Rais pia na ndipo kutapatikana namna ya kwabana wafanyabiashara/wawekezaji na kumpa m/nchi nguvu. Ndo maana walilipiga chini ya Warioba wakaweka inayowatetea/kuwalinda.Sasatujifunze huo mfano mdogo...
  7. koi makokulo

    MAGUFULI anajua vyanzo vya mapato ya CCM

    Mmiliki ni m/kiti wa ccm. Nimewai kuona s/kali ikishinda kesi dhidi ya prof:Juma Kapuya na wenzake,ambayo kufungwa kwao hakina faida kwa taifa kufuatana nahsara walioipa s/kali Mmiliki ni m/kiti wa ccm. Nimewai kuona s/kali ikishinda kesi dhidi ya prof:Juma Kapuya na wenzake,ambayo kufungwa...
  8. koi makokulo

    Magufuli, watanzania wana shida zaidi ya hapo!

    Wewe ukienda kinyume utashtakiwa tena utaambiwa."kutokujua sheria sio kinga".je!yeye Magufuli mwenye washauri lukuki anapokosea tumfanyeje?ukitaka kuongoza kidikteta lzm ubadilishe katiba.kama walishindwa kutaifisha mali za waliochota pesa EPA,ESCROW,IPTL,MEREMETA,na mengine mengi kama hayo ,kwa...
  9. koi makokulo

    Kiuchumi, wafanyabiashara wapo sahihi kuficha sukari

    Hawa watu walinunua/kuagiza sukari kisheria na nchi inatambua hiyo ndiyo maana wametembelewa na serikali,cha kufanya serekali inunue kutoka kwao au iagize kutoka nje na kutelemsha bei ili washindwe kuvirundika lkn cio ubabe, Kumbuka kuwa s/kali yaMKAPA iliruhusu soko huria,Nani alitengua hilo...
  10. koi makokulo

    Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Naona kuwa hili si swala la kuombwa ni la kisheria kuwa mfanyakazi/mtumishi alipe kodi kutokana na mshaara wake PAYE.
  11. koi makokulo

    Mbowe na UKAWA/CHADEMA ni Vigeugeu, Wanafiki na Waongo

    Tamaa zako tu, ulinyimwa nafasi kugombea nafasi ya urais ndo maana. Kama EDO L. Ni jipu kwa nn asitumbuliwe, hajawai hata kutamani kwenda nje ya nchi kama ww ulivyotaka. Tunasubiri, badala yake wameanza kumuongelea kwenye kamati kuu ccm;kumbe bado wanajua umuhimu na ubora wake!!!!!? Weeee ulie tu
  12. koi makokulo

    Upotoshaji : "Serikali ya Magufuli" badala ya "Serikali ya JMT"

    Ndio wale viongozi waoga,wasiojiamini wanaojipendekeza na hata kutaka kuonekana kwa Rais kuwa yy ni mchapa kazi
  13. koi makokulo

    Ni kosa kumtaja mumeo wa zamani ukiwa kwenye ndoa mpya

    Mtaje huyo; lkn anaweza kumtaja huyo mume wa zamani kwa mabaya aliyofanya na kumsababisha atoke ili mwingine asije kutiamo guu.
  14. koi makokulo

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Kuna kitu kwa kinaitwa,"Contract agreement."Kama alifanya hiyo ni alali yake,lkn kama hiyo hakuna asisumbue raia. Haingii akili uache kazi yako, unakwenda kufanya kazi isiyo na makubaliano, hata Rais amepewa mkataba yenye malipo Inayofahamika alafu unabaki kusubiri amri ya Rais.wasilisha hizo...
  15. koi makokulo

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi au Taifa?

    Ni Taifa. Kwani Tanganyika haina Bendera wala Rais
  16. koi makokulo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    Kama hataki mshaara kwa nn aliomba kazi? Kuna sheria za kazi, hata ucpo enda likizo pia!!!!!Awaachie wengine waco na ajira wanaohitaji mshaara
  17. koi makokulo

    Rais Magufuli akamilisha kuunda Serikali

    Ndo maana unajiita mzee. Kila kazi linalofanfwa lazima kuwepo na msingi, ww umeutoa wapi msingi wa kazi?Zindukaa!!!!!
  18. koi makokulo

    Rais Magufuli akamilisha kuunda Serikali

    Kibaya zaidi Rais anatumbua majipu mpaka hao waliomgarim time kuwaweka madarakani.sasa ni lini ataikamilisha?
  19. koi makokulo

    Mahakama ya Mafisadi kumfunga nani?

    Hakuna cha mda kufika huwezi kukata mti ukifikiria umeliua bila kung'oa mizizi yake.
Back
Top Bottom