Search results

  1. mniwasa

    RAW HDD

    Shukrani mkuu kwa mwongozo nitalifanyia kazi
  2. mniwasa

    RAW HDD

    Nina Hard disk ya GB 500 imekuwa RAW ghafla na nikijaribu kuiformat inasema cant Format hata kwakutumia disk managment any other solution msaada plz [emoji1430][emoji1430][emoji1430]
  3. mniwasa

    Natafuta receiver ya Sony Home Theater

    Inahitajika receiver ya Sony DAV-DZ350 1000W yangu imezingua inawaka kitaa cheupe ktk screen tu na amna kitu inafanya baada ya apo au mwenye ujuzi ktk hili basi tuwasiliane kwa +255657900003. Niko Dar es salaam
  4. mniwasa

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Iphone 6s 64GB color Silver Location Dar es salaam Price 580 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mniwasa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Iphone 6s 64GB bei mteremko kbs 600 Silver Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mniwasa

    Jinsi ya kusearch google kwa usahihi zaidi

    [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
  7. mniwasa

    Jinsi kudownload video facebook

    Kama watumia android download app inaitwa facebook videos downloader ama kama watumia ios basi download app inaitwa download then utalogin fb kama kawaida na kisha baada ya apo utakuwa ukiplay izo video kwa kutumia izo app inakupa sehemu ya kudownload Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mniwasa

    Msaada namna ya kunlock zte-G s309 network lock

    Hy furiousgold ni software ama ni nn nielezee kdg apo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mniwasa

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    kioo cha Samsung j5 prime shs.ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mniwasa

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Nina zte-G S309 msaada kidogo nataka isome line zote but kwa sasa inasoma line moja tu ya zantel Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mniwasa

    Msaada namna ya kunlock zte-G s309 network lock

    Hii ni simu ambayo imelokiwa na kampuni ya zantel tanzania nawezaje ifanya isome line zote? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mniwasa

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Hapana shaka ndugu yangu umekipata ambacho ulikuwa unakitaka kwa maana bila kuwa na kigugumizi cha maneno hii kiki na ushaipata ndio maana raia wameweza kukujibu kwa hoja zao ama sivyo ilifaa wakupuuza kbs ni hayo tu maana nakupatia picha na familia yako inakutegemea bila shaka kupitia vitu...
  13. mniwasa

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Am selling iphone 7 32GB clean condition price is 1.2M contact me through 0657900003
Back
Top Bottom