Search results

  1. lizzy3639

    Msaada tutani

    Habari wana jamii wenzangu naomba msaada kuhusu hizi emails za immigrants huwa ni issue za kweli maana huwa nataka kulipia hizo form lakini nasita mwenye kujua anifahamishe. Nataka kuhama Nchi
  2. lizzy3639

    BlueBird invitation Dar inakuletea card mpya za mialiko na free printing

    Habari wana JF. Kwa wale wenye sherehe za harusi, kitchen party, send off na shughuli yoyote inayohitaji card za mialiko na michango Bluebird Invitations wanazo card mpya nzuri sana zinazoenda na wakati bei zao ni nzuri na kwa yule anayepeleka mteja anapata commission yake bila longo longo...
  3. lizzy3639

    Nikila pilipili au kinywaji cha baridi sana napata kwikwi, je kuna madhara kiafya?

    Ndugu zangu wenye taaluma ya afya ya binadamu, naomba kuulizwa swali dogo tu ambalo limenitatiza kwa muda mrefu sasa bila majibu. Swali: Kila ninapokula pilipili au kinywaji cha baridi sana haswa Bia inanipelekea kupata kwikwi, je kuna uhusiano gani ya vitu hivyo tajwa na kwikwi na je kiafya...
  4. lizzy3639

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ndugu Rais, Sisi tuliokuwa wafanyakazi wa Caegostars Ltd ambayo mkurugenzi wake ni Ndg. DIONIZ S.E. MALINZI tunaomba msaada wako utusaidie kupata haki zetu. Ambazo ni kama zifuatazo:- 1. SACCOS:- Tulianzisha Saccos yetu pale kazini lakini kutokana na matumizi yake mabaya ya fedha ofisi...
Back
Top Bottom