Search results

  1. Rangi za nyumba

    CUF KUSUSA NI TURUFU AU GALASA?

    Cuf kumbuka wana wabunge kwenye bunge kuu la muungano na madiwani bara kila jimbo sasa tatizo liko wapi ? Wamewaachia ccm waendeshe kama wataweza tekeleza mahadi zao wao wenyewe wakishindwa kutimiza malengo ya wazanzibar 2020 wajiandae kuuwa wazanzibar wote huu ni mtego mkubwa sana kama ccm...
  2. Rangi za nyumba

    Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

    Sijaona sababu ya watu humu kukosoa kwa kila jambo huyu ndiye kwa sasa mtz namba moja kwa hiyo sioni sababu ya kumkosoa anaonyesha ni jinsi gani anatekeleza kwa vitendo maagizo ya viongozi wenzake bila kuwazalau big up jpm
  3. Rangi za nyumba

    Dalili nyingine kuwa upinzani wa kweli umekufa ni hii hapa...!

    Atakuwa nguruwe tu siyo tena ng'ombe
  4. Rangi za nyumba

    SSRA: Ufafanuzi kuhusu uraia wa Dr. Carina Wangwe

    Hakuna kunyamaza tuna watanzania wenye sifa hatuna haja ya kugawa rasilimali za nchi kishoga shoga
  5. Rangi za nyumba

    SSRA: Ufafanuzi kuhusu uraia wa Dr. Carina Wangwe

    Siyo tukuletee soma mwenyewe katiba pia kama walikuwepo basi sheria zirivunjwa tusigawe nafasi nyeti kwa waveni nirahisi nchi kuuzwa ? Mtanzania take care
  6. Rangi za nyumba

    Jifunze ushirikina hapa

    Mshana Jr naomba kuuliA biashara na uchawi viaendana?
  7. Rangi za nyumba

    Mtazamo: Kuna bara moja huenda "human evolution" bado inaendelea

    Yaaani umenena maprofesa wote vimeo tuu
  8. Rangi za nyumba

    Korea Kaskazini: Kuzimu iliyopo duniani

    Huuu uongo kabisa haiwezekani hawa jamaa kuwa IQ ndogo alafu waweze kuwa wako juu kuliko nchi kama Canada nk ila wtz hata wakala wa vipimo ameshindwa kutumia scale za kupimia mafuta anapimia fimbo ? Heheheheeeee IQ ndogo
  9. Rangi za nyumba

    Mkinga: Mkapa alimtisha Magufuli IKULU

    Kwanini TRA wasianzishe benk yao ya kukusanya mapato yote kuanzi machinga mpaka muuza dagaa ? Kwanini wanatumia bank za marafiki? Ianzishwe bank ya tra kwa ajiri ya kukusanya kodi
  10. Rangi za nyumba

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Huyu atakuwa anaongelea mungu kikwete na wafuasi wake
  11. Rangi za nyumba

    Rai: Waziri aliyetuma SMS kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo awajibishwe!

    Sasa lowassa kafikaje ?hapo au ndiyo ujinga wako kila kitu lazima uweke unafiki mbele utakuja nyongwa AAA!!! Jiangalie sana hii jnsu haina siasa watu wako kazini mtu kakosea lazima awajibike siyo kuleta ulumumba hapa ukome kabisa nyani weee
  12. Rangi za nyumba

    Msekwa: CCM imepoteza sifa asili

    Mipasho time ccm bana yaani hukurupuka tu lowassa kawambiwa nendini mahakamani na mhusika mkuuu wa ufisadi kamtaja kikwete kaakaa kimyaaa nyie mnatumbuka mimacho tu
  13. Rangi za nyumba

    Nabii awapa mimba waumini wake zaidi ya 20, wakiwepo wake za watu huko nchini Nigeria

    Mbona picha ya polisi ni ya kibongo bana au Nigeria hivaa kama sisi
  14. Rangi za nyumba

    Waziri Simbachawene, ni wewe au mwingine?

    Kama utashindwa kuilewa Itv basi utaelewe chombo gani ? TBC imeisha kufa hata hatujui ni TV ya taifa au ni ya waigizaji maana hata haionekani kwenye king'amzi chake yenyewe hili jipu kuu kwenye hili taifa inchi hii itakufa Mara moja
  15. Rangi za nyumba

    Othman: Shein akae pembeni, Jaji Mkuu aongoze Zanzibar

    Mbona unapumua pande zote za mwili halufu mbaya hivyo
  16. Rangi za nyumba

    10 Fascinating Facts About Tanzania's Jakaya Kikwete

    Hahaaaa jamani kwa elimu ya kizamani hata form four bado tu zama za mwali umri huo uwe mwanajeshi weeeeeee
  17. Rangi za nyumba

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Naomba mnifafanulie Mimi secondary nimeanza mwaka 2004 sasa naomba mniongoze vyema hii history imefichwa sana nakumbuka kunakipindi nilipata nafasi ya kufanyabkazi pale 501JwTz nilikuwa kitengo cha engine room kuna jamaa alinigusia kwamba kuna meja anaitwa kisarika pia alihusika kwenye hiii insu...
  18. Rangi za nyumba

    Nyomi la Usaili wa Nafasi 40 TRA

    Unaumwa wewe Elimu inayo tolewa ndiyo inayo waandaa watu wawe wa kuajiriwa tusubili jk labda ataleta mabadiliko udsm
Back
Top Bottom