Search results

  1. G

    Tutafakari hizi hoja za posho ktk upana sahihi

    Ndugu wana JF hii ishu ya posho naona italipeleka taifa sehemu mbaya nionavyo mimi ni lazima iundwe kamati ya kitaifa ijadili ishu za posho kwa ujumla ikizingatia umuhimu wa kila mtumishi na mkulima naye apate posho katka kada zote. tujadili
  2. G

    jamani wale wa miaka 50 ya uhuru

    JF.wakubwa tujikumbushe wenyewe ktk elimu yetu 1.Katoka baba mmoja toka safari ya mbali,kavimba yote mapaja .... 2.Karuka tena karuka mtini hakufikia ...... 3.Baba ana ng'ombe,Ng'ombe ni mkali..... 4. 5. 6. Tumetoka mbali
  3. G

    Chadema kutoka mjadala wa katiba

    Kwa nini kila mbunge anayechangia lazima anaitaja chadema kasolo mh fatuma amejikita ktk mjadala .hapa kuna mawili 1.Wametoka nje ya mjadala 2.Ni jambo ambalo hawakutarajia chadema kutoka
  4. G

    Hodi wajamii

    Naitwa Gogozito, naomba kujiunga na wanajamii ili tuweze kushirikiana katika kuboresha hii forum. asanteni sana.
Back
Top Bottom