Search results

  1. rba

    HESLB

    Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa access nyingine kwa ajili ya kulipia Madeni kwa wanufaika wa mkopo.Je,kwa njia hii unaeza lipia mwenyewe yamkini kwa Mpesa na kwenye mshahara wasikate au hii imekaaje?
  2. rba

    Chuo cha uhudumu wa ndege Tanzania

    Naombeni msaada kufahamu chuo cha uhudumu wa ndege hapa Tanzania na namna ya kupata website yao.
  3. rba

    Natafuta shule binafsi kwa mchepuo wa sana iliyopo Dodoma,Kagera,Manyara,Tabora au Moro

    Naomba msaada kwa anayefahamu shule nzuri (Private Schools) ya kidato cha tano katika masomo ya sanaa katika mkoa wa Dodoma,Kagera,Manyara,Tabora na Morogoro.Ni vema ukanifahamisha ada ni kiasi gani.
  4. rba

    Naombeni Msaada wa maelezo zaidi kuhusu hili tangazo la TCU

    Naombeni Msaada wa maelezo zaidi. TCU wametoa hili tangazo Invitation to apply for recognition of prior learning (RPL) Examinations as a pre_requisite to join degree programmes into higher learning institutions for Academic year 2017/2018. Nimesoma vizuri lakini sijaelewa hasa wanataka mtu awe...
  5. rba

    Msaada: Notes na past papers kidato cha sita 2012-2015

    Naomba msaada wakupata notes&past papers za necta kidato cha sita kuanzia 2012_2015 kwa mwenye nazo.
  6. rba

    Je naweza soma master tofauti na education?

    Nimesoma bachelor of arts with education subjects geography and history je naweza soma master tofauti na education? Kama ipo je ni ipi?
  7. rba

    Msaada: Je naweza kusoma Masters hii?

    Nimesoma
  8. rba

    Nina bachelor of arts with education subject Georgraphy and history je,naweza soma

    Nina bachelor of arts with education masomo Geography and history,je naweza soma master ya law,sociology au international relation.
  9. rba

    Ninaweza soma master ipi baada ya kumaliza shahada ya kwanza katika program BaED?

    Je ninaweza soma master ipi baada ya kumaliza shahada ya kwanza katika program BaED masomo Geograph na History.
Back
Top Bottom