Search results

  1. M

    Ajali mbaya Kibada, Kigamboni: Watu 7 wafariki dunia

    Inna lilahi wainna ilaihi rajiun
  2. M

    Adhabu ya viboko mashuleni iendelee kuwepo?

    Siungi mkono hoja .walimu wa siku hizi hawajui kuwachapa watoto wanawaumiza utasema anapiga mwizi sio mwanafunzi
  3. M

    FastJet wanaelekea ukingoni?

    Wanakera sana hata mimi nilikuwa na safari ya saa 2 usiku wakabadilisha muda wa safari bila kututaarifu.tumekaa airport bila kujua chochote kila ukiwafuata kuwauliza wanakwambia subiri check inn itanza muda mfupi ujayo.mpaka mwisho moja ndio akatuambia kwamba ndege imebadilishwa muda mpaka saa 5...
  4. M

    Pale hayawani anapokuwa binadamu, Mbwa amkoa mtoto mchanga

    Kuna baadhi ya wanawake wana roho mbaya
  5. M

    Wakenya na jicho la husda kwa Tanzania

    Ni kweli wa kenya wana husda sana , lakin na sisi wa Tanzania hatujitangazi ipasavyo ndio wa Kenya wanatumia fursa
  6. M

    Je, hii ni kweli kuhusu kitovu cha mtoto mchanga?

    Hizo ni imani potofu tu hakuna kitu kama hicho
  7. M

    Sam Mahela pongezi kwako, hongera kwa ITV pia

    Sam mahela anahitaji kupongezwa kwa kweli amefanya kazi nzuri sana na kwa wakati
Back
Top Bottom