Search results

  1. G

    MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CUF-TZ-Bara.

    kaka haina haja ya yote hayo! sis wote wapinzani na siku zote mnapokua na missunderstand wenyewe kwa wenyewe mafanikio pia huwa yanaka mbali nasi. Zanzibar ni kisiwa kidogo broo hawana pa kukimbilia as you said tumewatawala na ito population yao ni sawa au pia imezidiwa na jeshi letu la...
  2. G

    MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CUF-TZ-Bara.

    kaka punguza jazba CUF pia wapinzani kama sisi labda njia walizopitia wewe binafsi hurdhiki nazo lakini ni njia ambazo zinatumiwa na mataifa mbali mbali hasa ya kiafrika kwa kujua Vyama tawala havikubali kutoka madarakani kidemocrasia angalia Kenya na Zimbabwe. mimi ni Chadema sina uhakika...
  3. G

    MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CUF-TZ-Bara.

    oya acheni ushabiki wa ajabu! mnapobishana wapinzani kwa wapinzani mnakua mnawapa hawa mazalimu mwanya wa kuendelea kutukandamiza. lets support each other, big up CUF but i hope wabunge wenu pia wataikubali rasimu yetu ya katiba itakayowasilishwa bungeni, apo tuko sawa au vipi broo.
  4. G

    MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CUF-TZ-Bara.

    Dah! broo unapotea, katika kitu ambacho tunapigania hata sisi chadema ni mabadilko ikiwemo kuondoa umwinyi wa katiba kukipa chama tawala uwezo kutawala pekeyake hata kama imeshinda kwa tofauti ya kura moja. kwa maana hiyo huenda nasisi kikatiba tukashirikiana na hawa nguruwe ndugu yangu sawa...
  5. G

    Nani aijenge na kuipigania Tanganyika kama siyo Watanganyika!?

    Duh!kaka nyi wapemba mmeshtuka sasa. unajua kiuchumi mlikua juu kipindi tunaungana lakini sasa poleni. ata ivyo muungano kwa wapemba ulikua na maana kwa wakati ule sio sasa kwani ulikua unatuliza hali ya amani kwa kua serekali iliyokuwepo ni ya mapinduzi so kama tusingekuja sisi watanganyika...
Back
Top Bottom