Search results

  1. K

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    'Kikwete ametuahidi-"Napenda kuwahakikishia kuwa serikali itafanya kila liwezekanalo kuhakikisha kuwa hakuna mtanzania hata mmoja atakae kufa kwa njaa....", na ameyataja maeneo/halmashauri 36 nchini ambazo tayari zina upungufu wa chakula na kwamba tayari serikali imeshapeleka tani kadha za...
  2. K

    JKay ataanzia Nchi gani Awamu hii??

    Hii hoja naikubali.........na wala si umeme tu, awamu zote mbili, punde tu anapomaliza/anapokuwa katika mchakato wa kupanga safu yake,bei za vitu hupanda almost 2times..eti mpaka soda--kinywaji rahisi ambacho tulitaraji kingeshuka!! Na sasa mgao wa umeme tena...hila ili watafute Richmond...
  3. K

    Hi, am a new member!

    Ni mara yangu ya kwanza kufaulu kujiunga na JF japo nimekuwa nikifiatilia mijadala ya wadau. Hope nitaennjoy this pool of critical and funny thoughts/ideas. Big up jf!!!
Back
Top Bottom