Search results

  1. LUKAZA

    Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Matakwa ya Katiba Yanakitaka Chama kilichoshika Nafasi ya Pili baada ya Uchaguzi ndani ya Siku 7 iwasilishe Jina La Atakae Kuwa Makamo wa kwanza wa Rais Lakini kwa bahati mbaya Chama cha ACT wazalendo kimevuka hizo siku kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar hivyo kwa kuwa jambo hapa ni Maslah Mapana...
  2. LUKAZA

    Wamarekani weusi wa Zanzibar

    Acha Siasa Ya Maji taka Hivi hebu kaa ufanye Tafiti yako kwa Utulivu kuna Mzanzibar asiyekuwa na kizazi kisichogusa bara? Bila Shaka Hakuna asiyehusu bara utofauti wa zama tu za Kuingia Zanzibar wengine wanavizazi 4 wengine vi 3 wengine ndio kwanza cha kwanza hiyo ndio tofauti ktk kisiwa...
  3. LUKAZA

    Mwakilishi wa Jimbo la Jang'ombe, Abdallah Diwani avuliwa uanachama wa CCM. Fancy Nkuhi,Mariam Ussi wapewa karipio kali

    Mh Abdalla diwani Nimejaribu kupita katika account yake ya facebook
  4. LUKAZA

    Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

    Hehehehe Kazaa na Mke gani huyo ?
  5. LUKAZA

    Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Ni vyema Ungeanza na kwenda Kumpokea Makamo wa Rais kwa kuwa nayo ni sehemu ya Itifaki Usililie kipaza sauti tu. UKIWA NA DHARAU NA WEWE UTADHARAULIWA TU.. JIFUNZE KUHESHIMU ILI UHESHIMIWE NDG LEMA
  6. LUKAZA

    Lema angeshiriki maandalizi ya kuaga miili sio kusubiri kipaza sauti jukwaani

    Hii ningependa kuwaasa wanadamu wote Duniani watakao penda kusoma maelezo haya hivi kwa kuwa Heshima ni Kitu cha Bure ya paswa kuwaheshimu Binadamu wezako ikiwa Mkubwa au Mdogo ili na wewe hiyo heshima yako kwao ikurudie Lakini kwa sasa Cha kusikitisha kuwa Lema anashindwa kuwa na Adabu kwa...
  7. LUKAZA

    Polisi mwingine Zanzibar afumwa akichukua rushwa kwa mtalii

    Acha Ujinga huo CCM wapi na wapi na Rushwa hai watumishi wapo wa vyama vyote isiwe kila kitu unatupia ccm rushwa ni tabia ya Mtu na kama ingekuwa kosa la mtu mmoja linakuwa ndo la taasisi nzima basi juwa kuwa Chadema ni wauza Unga na Kukwepa kulipa kodi
  8. LUKAZA

    Polisi mwingine Zanzibar afumwa akichukua rushwa kwa mtalii

    Inasikitisha sana na kwa nini makosa haya yanatokea zanzibar tu hii ni kuonesha wazi kuwa Rushwa kwa police wabarabarani wamekubuhu na kama kuna siku IGP Mangu angekuja Kituo cha Police Trafic Makao Makuu pale malindi watu wanatowa pesa utafikiri pana duka pale reception au kale kachumba kadogo...
  9. LUKAZA

    Rais Shein apandisha mishahara kwa 100%

    Hahahah hilo si la Dr shein chukuwa Muda umtafute Mh waride Bakari Jabu atakusaidia na kwa nini labda hawajachukuwa wengi tatizi kulikuwa kuna mkanganyiko wa kutokuifahamu sheria iliyopitishws mpya ya Chama cha Mapinduzi ambayo kwa sasa inamtaka kila mtu mmoja kuwa na nafasi moja tu ya uwongozi...
  10. LUKAZA

    Polisi mwingine Zanzibar afumwa akichukua rushwa kwa mtalii

    Askari wa Jeshi la Police amefumwa akiomba na kuchukuwa rushwa kutoka kwa wageni wanaoendesha gari katika maeneo ya mji wa zanzibar
  11. LUKAZA

    Rais Shein apandisha mishahara kwa 100%

    Hhope sizani kama itakuwa na msada kwako cha msingi wakaazi wote ni 1.3 Milioni wastani wa watumishi wa umaa ni 20% imepiga hatua kuliko serekali ya Tanzania ambao wan 10%
  12. LUKAZA

    Rais Shein apandisha mishahara kwa 100%

    Ndugu kukaa sawa hakuna kitu kinachozaliwa kikawa sawa chote kasoro za kiutendaji hazikosi mwambie mwenye kesi kama hiyo aende kwa afisa wake wa utumishi wa idara
  13. LUKAZA

    Rais Shein apandisha mishahara kwa 100%

    Acha nikusaidie wandugu acha chuki hata katika Ukweli Ukweli Dk Sheni anastahili pongezi katika hili kwa kuwa alichikifanya ni mwendelezo wa Uzalendo wake kwa wananchi wa zanzibar na wafanyakazi kwa Ujumla Mh Rais amepandisha mshahara kwa kima cha chini wote kutoka 150,000 hadi 300,000 ambao...
  14. LUKAZA

    Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Yawezekana ni sahihi sababu yeye alimtaka wakae wapate suluhu lakini cha kustaajabisha yeye seif muislam anajuwa sheria ya kislam kwa nini akatae kukaa na kupata suluhu... yaonyesha wazi kuwa seif Anakiburi na kiburi ni sifa ya Mungu na si mwanadamu...
  15. LUKAZA

    Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Kwa sasa Msajili sisi wasamari wema tunakuomba uchukuwe hatua ya kuzuwia hata Mikutano ya ndani kwa chama Hichi hadi pale watapotaka kuelewana au kukifuta kabisa kwani madhara yanayofanyika ni makubwa Seif ni Mshezi si Mtu yule anapenda madara kuliko kitu chochote hapa duniani
  16. LUKAZA

    Kubenea apigwa Stop na Mbowe kuandika kuhusu Ben Saanane

    Wewe embu towa upuuzi wako ni swala gani la kumuliza mwanamme mwezio ..... si Atasema tu kuwa "Mama yake katekwa *" Au kama wewe ungesemaje ?
  17. LUKAZA

    Bashe: CCM acheni unafiki, mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama. Nipo tayari mniondoe kwenye chama

    Bashe kama kipo icho kikosi kipo basi kiendelee.tu kukuwepo kwani kuna watu kama nyinyi msokuwa na hekma na busara za utendaji au uwongozi utumiwaji na wauza ngada kwa kutaka watanzania waathirike kiwashughulikie tu. Na kama Kweli CCM ni wanafiki lkn wewe bashe unajua km na wewe ni sehemu ya CCM ?
  18. LUKAZA

    Kwanini chama cha CHADEMA hakipendwi na watu wengi siku hizi?

    Sababu wananchi tumeshakielew hichi chama ni cha wapiga deal hawana maono ya kuwaletea maendeleo watanzania hivi ona Muone Lowasa mpiga dili Na wanifuatia halli ni hiyo hiyo utazani kuna mtu atatokea anakipenda Chama hicho Sasa ndo wamechemsha kabisa walipo mpa hela Wema Sepetu aje Chadema...
  19. LUKAZA

    Kwako Comrade Nape siku ya kufanya mkutano jimboni Mtama

    Nape Tulia Ndugu ...... Fanya kazi wana Mtama waliyokutuma la kama unakuja Mtama unatwambia umeshindwa kutatua kero za wanamtama au ulichokifanya mpaka sasa katka jimbo la mtama au changamoto zinazokukabili juu ya kututumikia wanamtama hapo itakuwa vyema kumbuka kuwa sisi hatujakutuma kuwa wewe...
Back
Top Bottom