Mtangazaji wa Kituo cha ITV Bw. Sam Mahela juzi alitangaza juu ya treni ya kwenda mikoani kuharibika na kuwatelekeza abiria waliokuwa wanasafiri na treni hiyo.
Hali ya abiria hao na watoto no mbaya na pia abiria walimwonyesha mtangazaji huyo vitanda na magodoro yaliyochakaa. Baada ya kuona...
Watanzania wenzangu nchi hii ya ajabu sana huyu Masaburi alikuwa Meya Wa Jiji la Dar es salaam.Na ni huyu huyu akishirikiana Na IDD simba Walipokea Hela wakaingiza kwenye akaunti ya IDD simba wakati Hela ya serikali cha kushangaza kesi ilikwisha kimya kimya.Wabunge Wa Mkoa Wa DSM wakalipeleka...
Hatimae siri ya kupitishwa Muswada Wa GESI kwa dharura Na HARAKA yabainika.Muswada huo una maslahi ya Viongozi Wetu Na Kundi la Wafanyabiashara Wa nje ya Nchi.Ili kuhakikisha mkataba huo unafanikiwa ilikuwa in lazima Muswada Wa Gesi Upitishwe kwa gharama yeyote Na Wabunge Wa CCM wakahaidiwa...
Magufuli mbona Naye fisadi? Nyumba alizogawa mpaka kwa hawala zake.MV.Dar kanunua meli chakavu bil 9. Meli ya uvuvi serikali kuwalipa wachina mabilioni kwa upumbavu wake mkuu Watanzania tuna DATA zake
MAGUFULI ni madilifu Wa nini?yule mrsX Wa kebby hotel?MAGUFULI mwadilifu Zile Nyumba alizogawa mpaka kwa jamaa zake? MAGUFULI mwadilifu? Ile MV.DAR chakavuu aliyonunua sh bill.9 Na imepaki no mbovu?MAGUFULI mwadilifu Hasara ya Bilioni 900 za Makandarasi Hana uandilifu wowote ndio walewale Vipi...
Mwanakijiji ungewaomba TUME ujiandikishe Mara MILIONI ili kura zako zimweke umtakaye Tafadhali acha upuuzi wako kuwasemea watu wengine Lowassa hafai nyumbani kwenu kwetu anafaa pili kama njaa ni kali wambie wakuongezee mkwaja CCM yenu inatumia nguvu sana kuhangaika Na Lowassa yetu in...
Bw.SAMWEL SITTA akiwa Tabora aliwadanganya wananchi eti aliambiwa Na nyerere kuwa lowassa hafai.Je uliambiwa were unafaa? Bw.Sitta acha kuwadanganya wananchi kwani Nyerere alikuwa anaogopa nini mpaka akwambie wewe?Bw.Sitta wewe ndio hufai ukiwa Waziri Wa ujenzi ulishindwa kujenga Barabara za...
Jamani Ndugu zangu watanzania wengi wetu maisha yetu ya kila Siku ni Mungu tu ndio anayajua kwani in ya shida Na taabu.Umasikini umetuzonga miaka 50 sasa Na msababishaji in "CCM"
Watanzania wenzangu sisi wachache kina MAGUFULI ,KINANA, TIBAIJUKA Na Kijana wetu mdogo RIDHIWAN KIKWETE Na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.