Search results

  1. A

    Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

    Nimefurahi sana kwa pascal to speak his mind!!haya ndo mawazo yako.siku zingine huwa unajitoa akili.kwa maneno yako yote nakuunga mkono.hasa kwa mtu kuongea kwa ukali kuficha udaifu wako.
  2. A

    Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikteta wa Serikali Magufuli, yalaaniwa na yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Siku zote Nina jiuliza !!what kind of pascal do I read about!!!! Pascal ninaye mjua hawezi kukitaka akili siku zote kiasi hiki!!! Leo umenena and you have spoken your real self image.nimefurahi for your today eloquency.
  3. A

    Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.

    My dear pascal with due respect tell me the following!!! Uchumi ulio imarika kwa awamu hii ya tano. Nionesha kiwango cha maji safi na salaama hata kwa jiji la dar!!ukiacha nchi nzima. Kiwango cha kuimarika kwa wanyonge kutokana na sera za magu!zaidi ya kushinda kuu za nyanya na michicha Yao...
  4. A

    Jerry Muro: Urais wa Kizalendo ni mgumu Tanzania

    Jerry siulisema kuwa wewe si mzaremo!!yaana unafanya kazi?hii ndo kazi unayo fanya? Wewe si ulifukuzwa kila ulipo enda.? Tbc ulifukuzwa ! Yanga ukafukuzwa! Itv ukafukuzwa ! Tulia ufanye kazi acha kujipendekeza .
  5. A

    Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!

    Leo pascal kaongea kweli na dhati ya moyo wake na Kama taaluma inavyotaka aseme. Hongera sana kwa u turn uliyofanya .kumbe watu wana akili na wakati fulani wanajitoa.....Asante kwa kubadilika.unahitaji akili ya kwenda wazimu ku mu support the big man
  6. A

    Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

    Mate pascal nakufahamu kwa hoja na ufahamu,!hayo ulio andika sio akili yako!akili zako umeziacha kwa loning'o........huyu mtu hateteiki na wala sio msukuma......sifa ya msukuma ni upole.ukarimu.ucheshi.mshirikishi.msaidizi.hiyo ndo tabia ya msukuma.
  7. A

    Jerry Muro: Uongo wa dereva wa Lissu ni kusema umefuatiliwa na gari muda wote hujachukua hata Namba ya gari?

    Jerry acha kujipendekeza maana hupokeleki kwa kuwa huna utu.hekima.na busara.umefukuzwa yanga.umefukuzwa tbc.umetaka rushwa na pingu!!una nuka na umeloa oil chafu huna pa kukaa maana roho ya uasi inakutangulia kila uendapo.....watanzania wanalia wewe unacheka???kisa unajipendekeza??unakumbuka...
  8. A

    LOSS: Adv Juma Reginald Sawaya Mawalla the first Tanganyika Barrister is DEAD

    They writter must be an ilborian ,!! The way he called nyapu!!!!!!
  9. A

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    Tundu Ana faa sana.ila asubiri kwanza.tatizo la kupita nafsi ya juu mapema itakuja mpa shida mbeleni ambako anahitajika zaidi.mf.ni Kabila na hata mzee sumaye.he can do simply as NASA did to raila.raila is the oldest candidate among the nasa.!!so he was given a last chance on the bases to age...
  10. A

    Lubuva na makamishna wengine watatu wanamaliza muda wao mwisho wa mwezi huu

    Waache waende waliotufanyia yana tosha.
  11. A

    DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

    Pole sana generali.pona haraka.get well soon.
  12. A

    Balozi Mahiga hongera kwa usomi uliotukuka

    Jamani naomba mwenye no ya cmu ya balozi mahiga taupe
  13. A

    Mhusika wa tukio la arusha haihitaji hata senti kumjua: Tuanze na mwigulu nchemba

    hivi jamani katika mtizamo wa kawaida kweli mtu anaweza kuwa gaidi wa yeye mwenywewe? chadema wanaweza fanya ugaidi kwa watu wake!watu walio kuja kwa ajili yako kwa kuku sapoti ugeuke wewe kuwaua?ufanye hivyo kwa sababu gani!? kwa faida ya nani? je watu waliofika kwa ajili ya arusi yako,waweza...
  14. A

    Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    umefanya vizuri kuja na master plan y a singapore,lakini tofauti ya mipango ya kwetu na wenzetu,wao wanasimamia na kutekeleza mipango yao.sisi siasa tu.yapo mambo mengi ambayo hatukuyafanyia kazi mf mambo ya south south commission,maisha bora,yote haya kutekelezwa.hongera mama umejaribu lkn...
  15. A

    CHADEMA itaitumbikiza Nchi katika UASI na Vurugu

    Haya Makundi mmeyaasisi nini na yatakayokufanya wamaliza,CDM ni mkombozi aw taiga letu, nchi imewashinda kufungeni virago ikulu tuna Kuja,
  16. A

    Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

    hakuna anaye mwogopa el bali hofu za watu wake ndizo hofu za maisha yao.je mwofu na mwema waweza kuwekwa ktk chungu kimoja?el anaweza kupambana na ubongo wa lissu?au mnyika? acheni umbea.
  17. A

    TBC1 Inaipendelea CHADEMA na Kuihujumu CCM?

    coverage hutolewa kutokana na point na sivinginevyo! kama hauna point waonyeshe hewa?ilikuwa ni aibu kwa ccm maana kulikuwa na watoto na hakukuwepo na watu wa kuonyesha.kumbuka kila tukio lina implication yake ktk mapokeo.tbc waliona ni bora kutoonyesha lolote kwa ccm kwani ilikuwa ni aibu ya...
  18. A

    Masako kibaraka wa CCM

    hivi hamjui kuwa mtawajua kwa matendo wale wote walio kinyume na kazi ya taaluma zao? masako mwenyewe anaganga nja kwa mengi, mengi naye anajikomba kwa watawala ili wasije muumbua ktk ufisadi wake.yeye anadhani kuwa anasidia ccm kwa kuto soma vichwa kumbe anachochea hisia za udadisi wa habari...
  19. A

    Mwenyekiti wa CCM na mkakati wa kumdhibiti Dr Slaa

    hii ni janja ya ccm ya kutaka kuhalalisha matakwa ya uislm wao.dalili za kutaka uislmu kwa namna yoyote kwa visingizio vya uzanzibar na swala la wanawake ni mtindio wa nyani kundule au mbuni kuficha kichwa mchangani wakati kiwiliwili kiko angani.namkitekeleza haya, ni sawa na kuleta ushindi kwa...
Back
Top Bottom