Search results

  1. M

    Msaada: Mtoto hakui tangu azaliwe na hana dalili ya kubadilika

    habar zenu ndg: kuna dada wa rafiki yangu ana mtoto amempata tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo mtoto huyo bado ni mchanga sana kama kazaliwa siku 5 zilizo pita amekuwa anasumbuka sana amejaribu kwenda hospital ya wilaya ya urambo wakampa majibu ya kuwa mtoto hana tatizo nimekuja hapa ili nipate...
  2. M

    msaada: mtoto hakui tangu na hana dalili ya kubadirika

    habar zenu ndg: kuna dada wa rafiki yangu ana mtoto amempata tangu mwezi wa 6 lakini mpaka leo mtoto huyo bado ni mchanga sana kama kazaliwa siku 5 zilizo pita amekuwa anasumbuka sana amejaribu kwenda hospital ya wilaya ya urambo wakampa majibu ya kuwa mtoto hana tatizo nimekuja hapa ili nipate...
  3. M

    Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

    Ndugu zangu, Mimi nina tatizo na mama mkwe wangu kwa kifupi nimeishi na mtoto wake kwa miaka 15, sasa na tumepata watoto wawili lakini jambo la kushangaza ametoa kauli nzito kwangu akisema kuwa ataniua, kunifunga jela, au kuniroga. Ugomvi wetu ni watoto wangu ambao niliondoka nyumbani kwenda...
  4. M

    Samwel Sitta unatuachaje Urambo?

    Umekuwa mbunge wa muda mrefu sana jimbo la Urambo mashariki tangu mwaka 1975 ukapumzishwa kati ya 95 mpaka mwaka 2005 na ukarudi tena mpaka 2015 umeamua kupumzika lakini umekuwa ukitoa ahadi kuhusu wakulima wa tumbaku kuwa utashughulia maslahi yao lakini upo kimya au hujui kuwa wameuza tumbaku...
Back
Top Bottom