Search results

  1. mcShayo

    Msaada: Natafuta kioo cha simu gionee elife e-7mini

    Wanajamvi, nilinunua simu hii ya GIONEE E7-Mini nikiwa India few years back. ni nzuri kwa muonekano na specifications zake pia si haba.. Bahati mbaga nikiwa najaribu kuiupdate ikastack and unfortunately ikadrain battery, kucharge nako ikagoma and mafundi wetu wa kibongo wakavunja kioo wakati...
  2. mcShayo

    ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.

    Tuliza mkun.druuuuuu unyolewe!!! UKAWA wanachukua nchi... Full stop, Uliyeandika hii thread ni msengerema wa kanda ya pwani....
  3. mcShayo

    Kinachofanywa na ITV ni kinyume cha maadili

    Fungua kituo chako, wavalishe za CCM....
  4. mcShayo

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Watahangaika sana. Poleni JF.... Afadhali mmerudi hewani
  5. mcShayo

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Usilete mdomo wako kujifanya unaipenda sana UKAWA na unachukia udhalilishaji!! Au tuanze kutafuta post zako za huko nyuma!!??? UKAWA Tunashinda huu uchaguzi, na tutawanyoosha wote wenye hizo tabia, ukiwemo wewe!!
  6. mcShayo

    Nimeshangazwa sana na kauli za Mbowe na Anna Mghwira; Ni za kumfagilia njia John Magufuli!

    Umekuja mpaka huku???Critics za Facebook hazijakutosha?? Huku kuna vichwa vibovu Mwenyekiti... Ngoja wakunyooshe!!
  7. mcShayo

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Tuliza mshono mpuuzi ww, usilete SIASA kwny maisha ya watu!!! Pumbavu&nusu kabisa... R.I.P Filikunjombe, William Slaa na abiria wote waliokuwepo kwenye Helicopter!!
  8. mcShayo

    Nimetoka kuhakiki hatua 200 kutoka kituo cha kupigia kura

    Jana nilienda kupima mita 200 kutoka kituo changu cha kura nikakuta bar. Nimefurahije!! #PigaKuraLindaKura......... 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  9. mcShayo

    Mwenzenu leo nimeamua kukazia Hukumu, "Simwangalii Nyani Usoni"

    Hujasema eneo ulilopo!! Huku kwangu nilipo Jimbo la Kawe Kuanzia DIWANI, MBUNGE, RAIS na hata wenyeviti wa kijijini (wakati ukifika) .... Ni UKAWA MWANZO MWISHO.....
  10. mcShayo

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Ashakum si matusi..... (Serikali ya fisiem ni ya kinanihii sana) Mimi ni Chadema kindakindaki ila kuna mambo at least yangewapa credibility kwa watz (kama hili la uokozi).... Seriously imeshindwa kutoa Helicopter moja ya campaign kwenda kuwatafuta hao waliopata ajali toka jana?? Au basi...
  11. mcShayo

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Faiza bwana... Mwanasiasa wewe, mwanaharakati wewe, mwalimu wewe, mtoa breaking news wewe.... Kweli ww ni multi-talented
  12. mcShayo

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Duh.... Ngoja tuweke siasa kando!! Mungu awaepushie madhara na wawe salama!!
  13. mcShayo

    TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    R.I.P Mwenyekiti mwenza wa UKAWA!!
  14. mcShayo

    UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    Hahahah.... Atiii?? Eti ITV na radio one! Kwani hivyo ni vyombo vya chakula?? Angalia taarifa ya habari leo na magazeti ya kesho!! Basi ndo utajua hiyo 25th of October.. .. Tutakapowanyoosha!! Na Lowassa akishaapishwa tu, mjue Kikwete tunampeleka Guantanamo na ubabe wake
  15. mcShayo

    UKAWA waongea na Wanahabari, Walalamikia Tume ya Uchaguzi na Rais Kikwete

    Tulieni msumari upenye!! Press conferences ndo kura zetu sasa.... Nyie bebeni watu na malori, sisi tunawafikia watz wote!! Tunaipa habari Dunia, na tunawaandalia njia safi ya The Hague
  16. mcShayo

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Hahahah..... Yaani kweli Nyani haoni kun.dule, wewe mbona huo most wako mreeeefu halafu pointless watu hawakupigii kelele?? Af usivyo na akili still umeuliza mimaswali ya kishwain ambayo hapo juu ndo unayaponda?? Halafu Mbona hujajitoa JF mpk leo?? Kapumzike jombaa
  17. mcShayo

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Yaani UMERUSHA POVU, MATE nadhani mpaka JASHO limetoka!! Em kunywa maji kidogo urudishe energy zako!! Haya rudi kwenye mada, Kwani haiwezekani??? Hahahah, mihemko hii bwana??
  18. mcShayo

    Balozi Juma Mwapachu na ubinafsishaji wa mashirika ya umma!

    Na bado..... Mtanyoosha midomo kama chuchunge ila CCM lazima ISHUKE DARAJA mwaka huu!!! #hizokazimnazosema #LabdazakuchongamidomoJF
Back
Top Bottom