Search results

  1. mama D

    Ghafla Mawaziri wameibuka na kuanza kumwagia Sifa Rais Samia

    Wamegundua walikua wanatoboa mtumbwi uliowabeba tena katikati ya bahari Wameanza kujielewa
  2. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Pole kwa jazba Kwanza jiulize ilikuaje mama yako kikongwe akabaki akilima kijijini au ndio shule ilimkataa zamani nae akaikataa?? Maana hata Rais hakuzaliwa Ikulu, alitokea hukoooo kijiji cha Kizimkazi
  3. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Wapuuzi ndio wanapuuza wenye akili wanaelewa Sasa sijui wewe uko kundi lipi? teheteheeee
  4. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Ukipewa ushauri usiuite panic. Au mama yako sio shupavu??? Hahahaaaaa
  5. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Okay ni sawa kama kwako kumheshimu ni upuuzi ila kumtukana ni makosa na itakugharimu
  6. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Uko sahihi sana Ugomvi na matusi yanayorushwa sio kwa maslahi ya nchi
  7. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Fanya 2025 utupatie mama yako atuongoze tuone ushupavu wenu
  8. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Yoda kwani wewe ni mwanaume??? Mbona na mimi ni Mwanaume pia hahahaha Hahahaaaa
  9. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Kama wewe unavyojitetea kwamba hujaisaliti familia yako huku wanafamilia wanalalama Rais nae ukimuuliza atakujibu kwamba hajakusaliti Utatukanwa tuuuuu kama unabisha weka mawasiliano yao hapa uone familia yako wanavyolalama
  10. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Kwa post yako hii hakikisha kila unaposhindwa kufanya kile wanachotaka mke wako au mume wako au watoto wako na familia yako kwa ujumla unawahimiza wakutukane itapendeza sana ikianzia kwako
  11. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Kujiita Muslim au Christian hakumfanyi mtu kuwa mwema na mwaminifu kwa watu na kwa Mungu Wengi wanaabudu dini na madhehebu ila hawafuati sheria ya Mungu wala kumuabudu Mungu
  12. mama D

    Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Wacha Serikali ya mbinguni ishushe kipigo kile cha gomora
  13. mama D

    Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Hiyo Katiba inayokuongoza imetoka kwenye biblia na Quran Tulia ujifunze
Back
Top Bottom