COMPANY REGISTRATION
Introduction
To register a company in the United Republic of Tanzania is a right of those who wish to associate and form themselves into a company pursuant to the existing company laws.
Companies Act, 2002
There are four main types of companies as follows: -
Private...
jamaaa kafanya vizuri kashusha some facts, tepambanue hapa tujue, sio kuwa na ushabiki tuu, mimi binafsi nionavyo baada ya kupitia documents zote, najiuliza, DOWANS TANZANIA LIMITED, AMBAYO IMEUNDWA KWA SHERIA ZA NCHI YA TANZANIA, IWEJE ISIWE NA SHAREHOLDER KUTOKA TANZANIA? HAIWEZEKANI KAMPUNI...
mimi ni msomaji sana wa issue za jamii forum, ila sipendi kucomment, ila nimefika sehemu nimekubali kuwa watanzania wapo katika tabaka tatu kwa sasa, kuna wadadisi( hawa wanajua kuchambua mambo na kuyaelewa - ( wanaulizwa -why, how, when, what) ili kupata evidence, yaani kisayansi kama...
Imefika wakati tuache ya karne ya 20, jamani tuanze kumpata rais kwa uwezo wa kuongoza nchi katika karne hii ya 21. Hivi watanzania tukoje jamani,?
Competence and delivery capability, mwaka 2015, hatutakuwa na mtu kuwekwa na chama tu, alafu anauza sura, alafu eti rais, huu nu upuuzi mtupu, by...
asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini kwa kuwa hata asilimia kubwa ya sehemu ya nchi bado ni vijiji, tuna uwakika wa kulima na kuuza mazao ndani na nje ya nchi, kilimo kwanza ndiyo sera sahihi ya kutupatia ajira na kumkomboa masikini,( kwa mujibu wa uchunguzi wa kisayansi, hatuna njia...
Sina uwakika na kauli hii kama kweli alitoa,( sikuwepo, sina data kamili) ila kama alitoa, inaiweka ccm mahali pabaya mwaka 2015. Alafu ni kauli iliyomtoka( nifikiriavyo), hakuitoa nadhani, na pili hana cha kutafuta kipindi kijacho( he has nothing to lose). Naamini, yeye mwenyewe raisi hakuamini...
Nchi inaongozwa kwa sheria na sio kwa maamuzi binafsi, watanzania wengi hawana kawaida ya kufanya maamuzi ndani ya sheria na ya kisomi kwa kuwa vitu hivi vililetwa na wazungu kwetu, havikuibikia africa. Siamini kwamba tindu lissu, mabere na huyo dr ndiyo wasomi wakuu wa sheria, tupo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.