Sisi ni developing country sio developed - so uwe mwelewa ukichangia mada.

nyaronga

Member
Nov 18, 2010
13
1
mimi ni msomaji sana wa issue za jamii forum, ila sipendi kucomment, ila nimefika sehemu nimekubali kuwa watanzania wapo katika tabaka tatu kwa sasa, kuna wadadisi( hawa wanajua kuchambua mambo na kuyaelewa - ( wanaulizwa -why, how, when, what) ili kupata evidence, yaani kisayansi kama aristotle, plato na alexandra walivofanya. kuna kundi la pili bado lipo nusu kiza nusu mwanga, ( wanataka kusaidiwa na evidence - hawaelewielewi tu, na wanasema either shit or fact) alafu kundi la mwisho ni full of shit, complete nonsense - ( wao ni matusi, ubishi, uwongo, umbeya, hasira, na wapo gizani - kundi hili ni kubwa mno.)

naomba kuwaambia kuwa, developing country maana yake ni kuwa, bado maswala ya uwelewa wa watu ni duni kiasi hiki, kila mkataba - wrong, ruswa kila kona, raisi - feki, democracy - bado, polisi - virungu, mahakama - no haki, utawala wa sheria bahati nasibu, shule primary mpaka chuo kikuu - ovyoovyo tuu na kukariri, ajira - dilidili tu, usalama wa taifa - uwe mwoga kama kunguru, uongozi - kwa kujuana, siasa - unafiki, uchumi - gambling, yaani hakuna kilichonyooka - the rael meaning of developing countries ndio inakuwa defined na mambo kama hayo.

developed countries - ajira - inajulikana, siasa - zinaeleweka, uchumi - unaweza kupima, mikataba - ipo wazi, sheria - zipo clear, usalama - magari yanalala nje, rushwa - kwa kiasi, utajiri - unajulikana majority wanaishi maisha sawa.


Tanzania inabidi tujue tupo wapi, tupo kwenye deceloping country, ni lazima siasa ziwe mbovu, mafisadi wawemo kwa muda, umeme uwe wa tabu, polisi wale rushwa waziwazi, sheria zisifanye kazi, democrasia kuwe na uchakachuaji, mahakama yawe developing, raisi ajitangaze, ndoa zisidumu, mapenzi ndo shaglabagla, matusi na luga chafu order of the day, yaani kila kitu kipo ovyoooooooooooooooooooooooooo.

INABIDI TZ - ITAFUTE ITS OWN DEVELOPMENT PATH STRATEGICALLY, SIO KUKAA KUIGA YA WEST NA YA EAST, HATUTOFIKA ANYWHERE, THE ORIGIN OF DEVELOPMENT MUST EMANATE FROM WITHIN, OTHERWISE, MAMIA WATAISHI NA KUFA IN DEVELOPING WORLD BILA KUONJA MATUNDA YA DEVELOPED WORLD.


ndo kaufinyu wa mtizamo wangu - call +31644558097 for clarification.
 
Back
Top Bottom