Search results

  1. J

    Je ni sahihi kwa CHADEMA kutumia zaidi ya shilingi milioni 400 kwenye Msiba wa Alphonce Mawazo?

    Unashangaa 400mln wakati Arusha bilionea mmoja alikufa na Siku ya mziko zilichangwa zaidi 800mln?
  2. J

    Mkoa wa Tanga umekamilika kuliko mikoa yote Tanzania

    Tanga raha kweli ni mji mzuri tu na gharama za maisha zipo chini
  3. J

    Kulikoni sasa hivi wakuu wa mikoa na wilaya wameamka na wamekuwa wakali kupita maelezo?

    Hao maDc na Rc ni nguvu za soda tu kwani INA maana hawakuwa madarakani enzi za uongozi Wa JK
  4. J

    Lowassa atinga Kahama kusalimia watu waliofukiwa kwenye machimbo

    Wee piga kelele tu usitafte hela huyo Lowasa na family yake wapo good zaidi ufikiriavo na akili yako finyu .kwani wewe umeshindwa nini kwenda fuga ?
  5. J

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    We acha ufala ile so pesa ya serikali ndio use me watafata taratibu za manunuzi .
  6. J

    Mtoto wa miaka 7 auawa kinyama, alawitiwa na kunyongwa kisha kutupwa kisimani

    Sitaki kuamini mzazi mwenye watoto anawezaua kikatili hivi Mungu ampumzishe kwa a mani Dogo Joseph nimesikitika saana
  7. J

    Tanga: Trafiki aliyeomba rushwa achukuliwa hatua

    Hakuna lolote hapo ila nawalaani saaana hao walomrekodi huyo Afande kweli hawajamtendea haki kabisa rushwa gani ile wakati pesa ya mboga tu .
  8. J

    Unadhani itakuwa lini?

    Mimi kwa mtazamo wangu kama hizo safari zingekuwa zaleta maendeo basi tungeyaona kwa safari alizofanya Rais alomaliza muda wake Kikwete
  9. J

    Piki piki bora yenye bei nafuu

    Boxer au kinglion
  10. J

    Kwa hili ITV chukueni hatua

    Lowasa ashasema aenda kuendeleza ufugaji .hivi mnafahamu ndio sekta ilompatia utajiri Mkubwa alionao mh lowasa? Haya bakini mkimkashifu huku wakati mwezenu anaendelea kukinga mahela .Tafta pesa wewe acha ulofa na umbea Wa kusemasema watu
  11. J

    Kwa hili ITV chukueni hatua

    Yule ni MTU na biashara zake zinazomwingizia mabilioni ya hela mnafiki ni wewe unaepiga kelele huku kujitaftia umaarufu kupitia MTU honest kama Muheshimiwa Mengi .tuachieni bilionia wetu Mengi
  12. J

    Mwisho wa unafiki wa Mengi!

    Nyie mnabwabwaja tu kajitaftieni hela acheni kuleta ushuzi wenu huku .Mengi ni MTU makini zaidi ya ufikiriavo kilaza weye
  13. J

    Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

    Na ndio kitu cha msingi saaana wajitahidi kupunguza ufisadi kwenye tenda za halmashauri .na
  14. J

    Yuko wapi mzee Mkinga?

    Mara ya mwisho niliskia anaumwa
  15. J

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Wewe jamaa umekaa kuinanga ITV tu hao star TV na radio Uhuru hujawaona kwa uchochezi wao kwenye taarifa zao
  16. J

    Mtangazaji yupi aliyekuvutia katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015?

    Sam mahela Wa ITV yupo juu saaana na kasimu kayira Wa azam news
  17. J

    Pongezi: Hongereni sana Tanesco kwa kutokukata umeme leo hii

    Kumbe umeme upo mwingi tu aisee kweli tanescoccm ltd company
  18. J

    CCM ilikwepa aibu kubwa sana kutokumpitisha Lowassa

    Kama fisadi na ushahidi inao wasubiria nn? Usimfungulie kesi mahakamani ? ASA wajakulialia usaidiwe kitu gani ? Twaendamchagua hivyohivyo Lowasa wetu
  19. J

    Mkapa aambulia aibu Mbeya, mkutano wadoda pamoja na kuleta watu kutoka Mbalizi

    ASA jukwaa lipo nyuma ya wanaomsikiza?
Back
Top Bottom