Search results

  1. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    sent 50 kasema mimi ni mwanamke hivyo hakuna tusi hapa.nitakuwa najitukana mwenyewe.
  2. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    BI SENTI 50 JEE? au huyu anatumia ajenda ili watu wafungiwe? sina cha kusema wewe ndio kila kitu. Mwambie anitaje senti 50.
  3. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    nadhani muda huu ungeutumia kubadili always yako au unatumia tambara kwa kukosa pesa?
  4. M

    Karume1+karume2+karume3=ufalme?

    ni kama chadema family business. Ndesamburo mbunge na mtoto wake kampa ubunge,mtei kampa uenyekiti mkwe wake Mbowe.
  5. M

    Zitto in US for international visitor

    so what? kitu gani cha ajabu.
  6. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    unataka niwe chadema? samahani kujibizana na wewe hata mwezi huna humu.
  7. M

    Sijakamatwa wala kushikiliwa na mtu yeyote!

    Haikuwa mahala pake tena nasikia alifanya hivyo baada ya gavana na viongozi wote kuondoka. Michuzi blog kasema wakati dr.Shein anaongea Wazimbabwe wakapandisha sauti zao.nae angefikisha ujumbe wakati huo. kwangu mimi Kitila Mkumbo (Asha Abdala) ni mnafiki tu.
  8. M

    Sijakamatwa wala kushikiliwa na mtu yeyote!

    Umeshamfungia huna haja ya kuandika hili tena kwani hawezi kujitetea,lakini bi senti 50 kasema mambo ya ngono umemuacha huo ndio uonezi wa JF? kifimbo umemfungia miezi mingapi? kwa kosa lipi?
  9. M

    Mkutano wa Shein London Wavamiwa na Wazimbabwe & BALOZI MAJAAR vs JF

    Hata Mbowe alikuwa karani B.O.T na aliiba sana akiwa na baba mkwe wake mzee Mtei.
  10. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Haki yako kuwa HOI. kwani tafiti huwa anakukosha? unanitisha mkuu.
  11. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Unaweza kubadili jina lako? wenzako wengi wamebadili. kama fikira duni n.k kinepi nepi kwangu mimi naona kama mtu ambaye muda mwingi unaharisha hivyo kupunguza uwezo wako wa kufikiri. samahani ni ushauri tu.
  12. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    wewe unapata mgao mdogo wa ufisadi ndio maana unalalamika? ukipewa mkubwa utanyamaza? swala ni kuwa RO kafanya mengi ndani ya muda huu mdogo.
  13. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Wapizani wa nini cha maana? Mbona walikaa kimya wakati Mkapa anachukua Kiwira, wamefanya lipi la Maana kuona pesa za Epa Zinapatikana? Mwakyembe na kamati zingine za wana CCM ndio zinachapa kazi.wapinzani wako kwenye usingizi labda CUF. kama Chadema ni kijiwe cha wahuni tu.
  14. M

    SFO wanatuchunguzia serikali yetu au yao?

    Safi sana, bado Mbowe na wizi wa magari.ndio maana kakimbia chuo na Jack Pemba kishaanza.
  15. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Nataka kukufunga kwako na ukija kwetu nakufunga kama Liverpool atakavyombamiza Chelsea jumanne.
  16. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Walifanya maonesho mengi tu usilete uongo. Balali kaondoka ndani RO,Lowassa kapewa haki yake ndani RO.na anafanya kazi kwa karibu sana na SFO unataka nini zaidi? ni sawa na kumpa ujiko mwakyembe wakati kazi za kamati yake zimetokana na JK na RO kuwa radhi.SFO wakija Tz bila kupata maelekezo...
  17. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Mkuu hii ya Always ndio imekupa ban? pole sana. Mwambie senti 50 kuna free style nayo bomba. namimi chichemi sana kwani nitafungiwa wenzetu kina Mwanakjj wako home ground sisi tuko away.
  18. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Umekurupuka? upewe mawani?
  19. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Kwani TID, Lady jaydee, Nature, Khadija Kopa, Kingwendu na wengine wanaletwa na RO? hii si hoja, kama alikuwa anawaleta mbona wanapatika na sasa? last week alikuwepo TID na Wamasai wamekuja. hujui kama usalama wana wakurugenzi wa mambo ya ndani na nje? nadhani ungemuuliza APSON aliyekuwa...
  20. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Achana nao hawa wapuuzi.Mwanakijiji ni mjinga fulani ambaye hana kibali cha kuishi marekani kutokana na ugumu wa maisha na frustration alizonao amekuwa akiwachukia watu wa serikali au waliomzidi kielimu, machungu yake ya maisha anatuletea sisi badala ya kuwapelekea wa Marekani walionyima stay.
Back
Top Bottom