Search results

  1. K

    Prof Kitila Mkumbo ni kweli wanafunzi wako hawajui kujieleza ?

    Katika uzinduzi wa Kampeini leo Kwa chama cha ACT wazalendo mgombea urais amesema kuna wanafunzi wanamaliza chuo kikuu hata hawawezi au hawajui kujieleza je Prof Kitila unaweza kudhibitisha au kukanusha tuhuma hizo kuhusu wanafunzi wako ?
  2. K

    Redet mwaka 2015 iko rikizo ?

    Ndugu nisaidieni Huyu Mkurugenzi wa Redet Dr Bana mwaka huu mbona hajatuletea utafiti umeonyesha nn kati ya Magufuri na Lowasa ?
  3. K

    Star TV Magazeti leo yachemsha

    Mtangazaji wa Star Tv aliyesoma vichwa vya habari kwa magazeti ya leo saa 12:30 amechemka yaani anasoma kama mtoto wa darasa la pili na anarudiarudia yaleyale muda wote tafadhali siku nyingine asirudie.
Back
Top Bottom