Search results

  1. P

    Mwenye uzoefu kuhusu application za chuo kikuu

    Wakuu habari ya wakati huu,naombeni mnisaidie kunifahamisha jambo hili,Nimemaliza diploma mwaka Jana na nimepata GPA ya 3.9. Tatizo lililopo kwenye provisional examination result (ambayo nitaitumia kuomba mkopo) kuna somo linaonesha slam D (huku ikiwa si kweli) nimeandika barua kwa uongozi wa...
  2. P

    Anatokwa na vidonda miguuni mara kwa mara, anahitaji tiba!

    Habari za wakati huu waheshimiwa. Mdogo wangu anatokwa na vidonda mara kwa mara sehemu zake za miguuni, amejaribu kutumia dawa kadhaa lakini hali haijatengemaa. Je atumie njia gani m'badala? Asante.
  3. P

    Kwanini Lakini?

    JK Kwanini unatufanyia hivi lakini? Mawaziri wako ambao hujawavua vyeo wanatumia nafasi hiyo kuomba kura kwa wananchi (Hapa tumekuvumilia)..Ukaona haitoshi ukaamua uwatafutie nafasi wale mawaziri ambao wamepigwa chini kwenye kura za maoni na ukaamua uanze na Amos Makala kwa kumvika taji la ukuu...
  4. P

    Mama yangu ni CCM Lakini kwa hili ameshindwa kujizuia

    Nilikuwa na Bi mkubwa tunaangalia taarifa ya habari ITV,sasa ule muda wa habari ya Lowassa akinadi sera zake huko Tabora alisema "Bado siku 49 kabla ya uchaguzi,kaa utafakari na uamue kula mlo mmoja,miwili au mitatu"...Bi mkubwa akasema huyu ndio rais.
  5. P

    Mabadiliko na changamoto zake.

    Wakuu ni kweli huu ndio wakati sahihi wa kufanya mabadiliko..Lakini CCM ina mbinu nyingi za kudhoofisha harakati hizi,wafanyakazi wote vikundi vya usalama kuanzia Askari Jeshi,Askari Polisi,Askari Magereza na Uhamiaji kura zao zimewekwa moja kwa moja CCM,Juzi Kuruta wametoka CCP na tayari kura...
  6. P

    UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

    UKAWA Wataitisha mkutano na wanabari leo saa 8 mchana na utarushwa live na ITV. Habari za leo, uongozi wa Ukawa utakuwa na Mkutano na Wahariri leo saa 08:00 mchana Bahari Beach Hotel, kuzungumzia masuala makubwa kuhusu uchaguzi. Tafadhali fika bila kukosa. ========= MBOWE: Ameomba pole kwa...
  7. P

    Nape mbona unawadanganya wana ccm?

    Kwa hatua iliyofikia inaonesha wazi viongozi wa CCM wanawahadaa wanachama, Ndugu yangu Nape juzi alisema Lowassa hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi (10) Lakini ni Lowassa huyu huyu aliyekuwa waziri mkuu chini ya utawala wa CCM,Sasa balozi wa nyumba kumi na waziri mkuu nani mwenye majukumu mengi?
Back
Top Bottom