New gen hawamjui huyu. Na watanzania kwa kutothamini vya kwetu mpaka huyu binti kaanza kufutika kwenye historia amefanya makubwa kuipaisha Tanzania kimataifa kwa umri alioukuwa nao. She deserve to be recognized once again as hall of famer
Ni.kikomo.sio njama..njama kuna.veronica amadu na zabibu hakuna tausi
Hivyo vitabu ni ngumu sana kuvipata madukani hususan dar kwani vilipigwa marufuku wakati wa nyerere kuwa vinafundisha mbinu za kijasusi. Arusha niliwahi kukiona njama na hujuma. Dar nimezunguka sijaviona
ndugu hizo nafasi ni ngumu tu kupewa bila kuwa na channel hawawezi kumkubali mtu random wasiyemjua background yake kama una mtu yupo wizara ya mambo ya ndani inaweza kusaidia anzia hapo ukienda oysterbay zilipo ofisi zao umenoa watakwambia nani kakwambia tunahitaji watu na umeona wapi kwani huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.