umesaidia wengi, ofu na woga kwa baadhi ya wanaume wasio jua namna ya kutongoza nasema umewaponya. unajua hii ni dawa kwa wote wasiojua kutongoza maana utamkuta mtu jasho linamtoka aonapo binti wa kike juu ya ofu. please kama unaingine waongezee hii si zambi, bali zambi ni kitendo tongoza uoe...
Nina mdogo wangu wa kiume.
Nimemsomesha mpaka IV, sasa mkorofi, nilikuwa naishi naye dar nikimsema afanye shughuli za ndani au atafute kibarua anaona upuuzi nilimtimua akakimbilia kwa ndugu zetu, humtumia sms za matusi mke wangu.
Hivi majuzi ametafutiwa chuo na mjomba wetu, sasa mjomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.