Search results

  1. C

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Nafikiri wengi tumeshuhudia katika awamu hii ya nne ya uongozi wa nchi yetu mambo mengi ambayo watanzania hawakuyazoea yameanza kujitokeza na mojawapo likiwa ni la siasa za udini na hivi sasa unaingia ukabila. Kauli kama hizi zimekuwa zikianzishwa na viongozi waandamizi wa ccm dhidi ya vyama...
  2. C

    Wapenda maendeleo wenzangu naomba mnipokee

    Mimi ni msomaji mzuri wa post mbalimbali ambazo wana JF wamekuwa wakizichangia na huwa navutiwa sana na michango ya members. Tafadhali naomba mnipokee ili nami niweze kuchangia kwa manufaa ya maendeleo ya nchi yetu. Ahsanteni
Back
Top Bottom