Search results

  1. M

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    niliwahi kuishi manyara mbulu, binti utamkuta mchafu chafu kwa sababu ya shughuli za shamba ila nywele,rangi,umbo mpaka sauti iko bomba sana, msubiri atoke kuoga mtoni mabinti ni natural utakubali hapa dar hamna kitu ni make up tu.
  2. M

    Utani Wa Wapemba

    Acha kueneza chuki, kuna mamia ya wapemba wanaishi bara mbona wabara hawalalamiki au kama vipi wazuiwe wasije bara waijenge pemba.
  3. M

    Wamakonde na wahaya wakali ktk mambo yetu yalee nani zaidi

    Rutashobya nakuaminia umesoma sana ila dada zenu wanawadhalilisha kwa kukataa kufanya kazi halali na kuendekeza uchangudoa.Kama vipi wapeni mitaji wafanye biashara za kueleka.Kuna demu mhaya jirani namzimia kwa namna anavyosaka mkwanja kihalali sio kama wenzake wa buguruni,manzese wanat....
Back
Top Bottom