Search results

  1. B

    John Mnyika ashindwa kushiriki kazi za Kamati

    Madaktari mio wengi kumbe??? Ndo maana mnadundwa, mnavamia sana fani za wenzenu.
  2. B

    Siasa zauporomosha mkoa wa Kilimanjaro kibiashara, kilimo na kielimu

    YEHODAYA No Research No Right To Talk. Nahisi nawe ni moja ya mnywa viroba tu.
  3. B

    CHADEMA kususa ziara na vikao

    2010 walidai wakaazi wa Arusha mjini ni wakorofi na wamechagua kiongozi kichaa, Asante sana ni baada ya miaka mitano tumejua ukweli. Kwamba walikataa kuchagua kichaa ndo maana ikawa vile kama ilivyo kwa wakazi wa Dar es Salaam Leo hii. Poleni sana wakaazi wa bandari Salama.
  4. B

    Chonde chonde viongozi wangu nchi isiendeshwe kwa mihemko

    Wanacheza kulingana na mdundo wa ngoma jombaa
  5. B

    Mbowe ajitosa kuwatetea Watumishi wa Umma waliofukuzwa

    Kwani cha moto hatukioni?????? We wa wapi aiseee????
  6. B

    Serikali yatishia kuivunja Halmashauri ya Jiji la Tanga kama mgogoro wa kisiasa ukiendelea

    “Mpaka sasa jiji la Tanga hakuna uongozi uliosimama, sasa hatuwezi kwenda kwa mwendo huu, wananchi wanahitaji maendeleo na kurudia uchaguzi hatuwezi ni gharama kubwa, kilichobaki ni kuivunja halmashauri mpaka hapo muda wa kufanya uchaguzi kwa mujibu wa katiba ya nchi utakapotimia, hivyo kwa...
  7. B

    Mawaziri kufanyiwa semina Ikulu, Dar kesho - Februari 25

    Nahisi hii fukuza fukuza ya kujionyesha unafanya kazi ndo imepelekea kufanyiwa semina hawa majamaa. Bora ya Lukuvi Baraza Zima la JPM
  8. B

    Ufipa mikakati haipangiki, pamepwaya

    Mnanikumbusha wimbo mmoja wa Fid Q, unaitwa Ni Propaganda.
  9. B

    Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

    Nitaanza kwa kifupi kueleza makosa ya kijinga waliyofanya CHADEMA kabla ya kuelezea yale ya msingi; 1. TAMAA – Viongozi wakuu wa CHADEMA walipata UROHO wa ghafla wa kutaka kuingia ikulu kwa namna yeyote, wakasahau misingi, wakaivunja UAMINIFU (LOYALTY) kwa wananchi walioujenga kwa miaka mingi...
  10. B

    Mapato ya Bandari kushuka, wengi sasa kupitia Mombasa

    Mtoa mada katoa yanayomsibu wapayukaji mnapayuka pasipo kujua hoja vizuri. Tumelogwa na nani sisi???
  11. B

    CUF yataka Eddy Riyami aachiliwe haraka

    Huu nao ni upuuzi usiovumilika kamwe, Magu nae atajitoa katika hili???? Vyanzo vya fujo vinaanza onekana na wao wanakaalia kimya tu. Mazafaaaaaaaaaaaaaaaantaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........!
  12. B

    Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

    UTAMKOSOA HADI MUNGU MTOA UZI HUKO UNAPOELEKEA.
  13. B

    Freeman Mbowe atangaza Baraza la Mawaziri Vivuli

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Waziri – Juma Omari Naibu Waziri Mwita Waitara Wizara ya Mambo ya Ndani Waziri – Godbless Lema Naibu Waziri Masoud Abdalla Hapo wamenifurahisha sana!
  14. B

    Zitto: Mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa na Serikali

    Duh????????? Ama kweli kazi ipo... Ati wanapendelewa???? Moja, Kama ni kweli wanapendelewa, na nadhani si kisiasa tu kama mnavyotaka kutuaminisha wengi wenu humu ndani. La hasha tuanze kujiuliza maswali kwanza, 1. Mlima mrefu kupita wote afrika, wenye kutoa theluji uko wapi??? 2. Na ni kwa...
  15. B

    Mabalozi, NGO's, & Co. Marufuku kuzunguka nchini bila ya kibali!

    Mmmmh??? Wapi tunapoelekea??
  16. B

    Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

    Mmmmmhhhhhh????? Dr. Slaa naye atarudi na kumalizana tofauti zao tu nae kwa mwenendo huu. Si mbaya tuyajenge sasa ni hatua nzuri na naamin hata huko tuendako CCm na Ukawa nao watakuja elewana ba kuacha ushabiki maandazi na kuanza kuibana Serikali yao.
  17. B

    Mbunge wa Kilombero Lijualikali azuiwa kupiga kura ya Mwenyekiti wa Halmashauri

    Duh??? Hawa majamaa wamezoea Goli la mkono. Lilianza Arusha 2010 likapelekea kukatisha maisha ya maraia kazaaa. wakafika mbali na kusema kuwa Wakazi wa Arusha ni wavuta Bangee na wanaongozwa na Kichaa Lema. Miaka mitano imepita sasa ikaja ya DSM Ubunge wakajitaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...
  18. B

    Mbunge Nassari alipotea njia CHADEMA

    Mchango wa Tindu Lissu, Godbless Lema na Marehemu Alphonce Mawazo si wakubeza hata kidogo, maana kuamsha akili zetu na kuzitambua haki zetu ni zaidi ya hizo azifanyazo Joshua Nassari.
  19. B

    Mbunge wa Arusha Mjini, Visingizio vimekwisha, siasa za kishabiki zinatugharimu

    Nipo Morogoro maisha yamekuwa magumu pitiliza, yaani huku hadi Taasisi za Serikali zinaibia maraia. Kwa kujiridhisha tu Njoo uone watu wanavyopigwa usanii juu ya umiliki wa Ardhi. Mikutano mingi sana ya Kiserikali na taasisi zake zilikuwa zinafanyika hapa Morogoro zilipelekea kuuchangamsha miji...
Back
Top Bottom