Search results

  1. T

    Mkutano mkuu wa 9 wa umoja wa ukoo wa kivenule-juni 29 - 30, 2013 - kidamali, iringa vijijini

    TANGAZO LA MKUTANO MKUTANO MKUU WA 9 WA UMOJA WA UKOO WA KIVENULE - KAUKI KAUKI NI NINI? Ni Umoja wa Ukoo wa Kivenule, ulioanzishwa rasmi mwaka 2005, kukabiliana na changamoto mbalimbali za maendeleo, zinazoikabili jamii inayounda umoja huu; hususani katika kujikwamua na ugumu wa maisha na...
  2. T

    Tangazo - HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA

    Inasikitisha kuona Wakurugenzi wa Halmashauri wanakuwa miungu watu katika kuwadhibiti watu wa kawaida na kushindwa kusimamiwa mambo ya maana hususani katika kuongeza vitanda katika hospitali ya Amana, kusafisha masoko, kuzoa taka na hata kutuwekea Television kubwa katika maeneo yenye mikusanyiko...
  3. T

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Yanazungumzwa mengi kuhusiana na chanzo cha ajali. Ila mimi kinachonichefua kwa polisi, kila basi au gari linapopata ajali, chanzo ni "Mwendo Mkali", "Uzembe". Kama mna kumbukumbu mwaka jana, magari aina ya toyota yalipata ajali sana na mwisho wakagundua chanzo chake kuwa ni mechanical problem...
Back
Top Bottom