Search results

  1. P

    Zanzibar Nchi au?

    Zanzibar sio nchi,Nchi ni TANZANIA TU BISHA HADI KESHO UKWELI NDO HUU, tatizo liko kwenye sheria zinazokufanya ulipie kodi.
  2. P

    Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    Tutaendelea tu ndugu,hicho sio kikwazo pekee cha maendeleo. Fanya kazi na endela kupambana ktk sehemu yako. Na kama unaona sio fair competition unaweza kujitoa ili kupunguza strss. ASANTENI .
  3. P

    Mjadala wa posho na kodi bado wawaka Bungeni; Lissu awawashia moto CCM

    Huyu Mh Lisu mi namkubali sana katika bunge hili mpaka nashindwa kuona pengo slaa, is a serious man . Nadhani amedhutu,ameweza na atasongo mbele ktk bunge hili.
  4. P

    Waheshimiwa Wabunge kulala Bungeni: Je ni kutafakari au kusinzia?

    Jamani umri nao tuuangalie mzee wetu katumikia sana nnji hii mwache ale raha.
  5. P

    Mipasho ya wabunge ni kuishiwa hoja au mbinu ya kisiasa?

    Muongozo wa spika. Kanuni ya 71(1) Nakunga Mkono uliyeanzisha hi hoja.
  6. P

    Kazi za wahasibu aprili 2011

    Pole sana kaka kwa uvumilivu ulionesha mpaka sasa. Kama walivyosema wachangiaji wa mwanzo keep on applying dont give up. Usiachie hapo tu funga na kuomba kwa imani yako kwa wiki moja ukilenga sehemu unayoitaka. Am sure God will help. Binafsi nilifanya hivyo nilifanikiwa.
Back
Top Bottom