Search results

  1. N

    Mtaala wa A-Level Physics

    Hicho ni form six current syllabus ukitaka na form five pia kipo
  2. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Ni either mashine yako ina overheat na kusababisha proceessor ku- slowdown au hdd imekufa...jaribu kushughulikia cooling kwenye mashine yake though sometimes processor ikichoka pia hasa kwa baadhi ya probook na sony mambo hayo hutokea
  3. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Kuna Possibility kubwa sana kuwa harddisk yako imekufa
  4. N

    Computer supplies Tz

    Ukubwa wa scale gani mkuu
  5. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Zuia windows updates
  6. N

    Mafundi kompyuta (software and hardware)

    Kutana na mafundi wa uhakika wataalam wa kutengeneza kompyuta matatizo ya aina zote Kariakoo mtaa wa msimbazi na aggrey call: 0675378011 Karibu
  7. N

    Tatizo lolote la PC/device

    haina drivers
  8. N

    Tatizo lolote la PC/device

    speaker zimekufa
  9. N

    Tatizo lolote la PC/device

    audio jack haiko sawa kuna vipini fulani ndani ya hilo shimo la kuweka earphone jaribu kuviinua kidogo
  10. N

    Tatizo lolote la PC/device

    fungua safisha hiyo fan pamoja na heat sink ikirudia tafuta mtaalamu abadili fan au kama ni ishu ya voltages afanye looping
  11. N

    Tatizo lolote la PC/device

    Tatizo hilo ni critical kidogo kawaida utahitaji kuprogram upya ic ya BIOS ambayo mafundi huwa hatufanyi hiyo bali tunabadili hiyo ic/chip na kuweka nyingine ya mashine iliyokufa
  12. N

    Motherboard ya HP ProBook 440 g2

    nitafute 0752367766
  13. N

    Msaada: Not a Valid Win32 Application Error.

    Yah kama ni hivyo kuna virus humo japo hata wakitoka hizo app hazitafanya kazi itabidi u-install upya
  14. N

    Jipatie keyboards na adapter za laptop

    Ipo ni 25 tu kwa mpya lakini ukitaka original ambayo huwa ni used 30 karibu
  15. N

    Msaada: Not a Valid Win32 Application Error.

    kwenye title umeandika Not a Valid Win32 Application Error hii hutokea mara nyingi endapo unajaribu ku-install application ambayo ni ya 64bit os kwenye 32bit os pia hutokea kama application file lako limeharibika kwenye maelezo umeandika 'window32 application error' hii mostly husababishwa na...
  16. N

    Msaada kujua bei ya computer aina ya Hp dc 7800p na upatikanaji wake

    around 300k complete nenda kkoo mtaa wa uhuru zipo used
Back
Top Bottom